Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

tupa kule tapishi hilo.
ila we jamaa unaonekana mbea mbea sana maana umeandika kama unaimba taarabu
 
Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia naoa mke mwingine.

.
Mwambie afe hata leo ,huyo ni snake in the monkey shadow
 
Kwakweli
Mambo ya wanandoa Yana changamoto Sana.

Sema Sasa sijaona mahali kama umeandika unahitaji ushaur,pongezi au maoni.

Zaid zaidi naona umewashaur tu hawa dada zetu[emoji4]



Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ila Mimi- wewe ndiyo unanishangaza na yule mchepuko wako aseeh. Unakomaa naye kama vile mkeo na mna watoto kwahiyo hamuwezi kuachana yaani.
 
Afu Kingine,
Huwa naamini mtu uyo anayo nafas kubwa ya kua mtu Bora Zaid maana najua uko alikotoka keshapata darasa tosha la maisha na upendo maana Ake Ni Nini.

Akili yangu inanambia,
Sidhan Kama mtu uyo anaweza rudia Tena Ujinga ule tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha naona akili yako inavyoamua kujifariji na kujidanganya.

Siku utapigwa na kitu kizito kichwani ndiyo utajua hujui
 
Back
Top Bottom