Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

Aliyekuwa mke wangu, analazimisha kunirudia

DeepPond ushapita hapa?? .lNi muendelezo wa Ndoa na hekaheka zake tu
Nmepita nmeona,
sema jamaa Kiana flan anafurahia anguko la ex wife wake.

Sema Mambo ya wanandoa Ni changamoto Sana,
Hapa anamdiss Sana ila najua TU kama mkewe alkua Ni fundi kule faragha kesho yake atakuja na bandiko lingine la kuukana Uzi wake mwenyewe.

Umesahau yale ya Mimi na Mchepuko yule wangu msumbufu?

Huwez Amin Tusharudiana tayar, alitumia vizur udhaifu ule wangu kumaliza mgogoro wetu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabibi na mabwana,

Yule shemeji yenu aliyenivuruga na kunitelekeza na watoto kwa mbwembwe na kiburi sasa ana-force kurudi akiwa hoi bin taaban. Anadai hata nikim-crash vipi mimi ndio mume wake baba watoto wake. Maajabu na sasa. Yaani msg simu haziishi sorry za kila aina mhhh sijui katumwa huyu?

Ila za chini chini nasikia jamaa kambwaga baada yakuona mtelezo hamna tena (walitegemea vi sumli vyangu kundesha mapen zyao)

Ofisi niliyomfungulia ikampa jeuri kupata pesa za kuhonga sasa kapigwa notice ya either ahame au alipekodi mara mbili aiseeh Mungu yuko fast a saana. Sasa hajui ataishije mjini hapa.

Yaani hata mwaka hajatimiza kachakaa mbaya...anakazi yakumsema shetani Mara yule hawara kamwaribia maisha na blaa kibao anasema kama nitamkataa bora afe kuliko kushuhudia NAoa mke mwingine.

Chaajabu alishaanza na process za kudai talaka sa sijui ni msaidiaje mammae huyu bitch??? Kwake naona kinyaaaaa, na nipo natafuta na kuchovya chovya mabitch wengine nipate wakuishi nae tusogeze siku maana hawaeleweki hawa.

Note: Madada sijui mademu wa humu JF msicheze na ndoa Mungu analipa fasta siku hizi kama hujui maana ya ndoa usiing'ang'anie na kusumbua mwanaume utabeba laana na mikosi bure.
Huyo wa kutaka kujiua ningemlipia na jeneza zuri la gharama Nampa risiti akawape ndugu zake watalifuata.!!
Anakuja kukuua tu huyo hakuna anachofuata.
 
Ameyazoa yakuyazoa hukoo ameyabeba yakuyabeba sasa yamemshinda sasa anataka Kurudi....ndoa hiziiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134]!!
Sema Mimi huwa nahusudu Sana kumsamehe mtu ambae najua kashaenda uko yamemshinda, afu akarudi mikono nyuma (ILA AKIWA SALAMA, Hana ngoma)[emoji4]
Ile moment huwa naifurahia Sana[emoji4]

Afu Kingine,
Huwa naamini mtu uyo anayo nafas kubwa ya kua mtu Bora Zaid maana najua uko alikotoka keshapata darasa tosha la maisha na upendo maana Ake Ni Nini.

Akili yangu inanambia,
Sidhan Kama mtu uyo anaweza rudia Tena Ujinga ule tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom