Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Aliyekuwa mke wangu(mama Agness) na jamaa yake wamefariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.

Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi juu ya haya matukio yanayonitokea kuhusu mama Agness maana yamefuatana sana.

Dunia dunia dunia ni sehemu mbaya sana kwangu.

Raha ya milele umpe ewe bwana.....

Pumzika kwa amani mama Agness.

Soma Nasikitika kusema, baada ya miaka 13 kwenye ndoa leo mimi na mke wangu tumetalakiana

Pia soma Mama Agness nimempa talaka juzi tu leo kaja kuishi jirani yangu na mwanaume mwingine!
Daaah kweli uchawi upo........

Mzee mwenzangu hujawapa hats nafasi ya kupata mtoto....Dadadeekiiii

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hii kitu imekaa kichai chai, ili kumprove huyu jamaa mtu aende mtoni mtongani kwa buruda achunguze ajali iliyotokea huku na ajue waliko kuwa wakiishi.
 
Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sikosei katika ile stori alihonga shs 7800(shilingi elfu saba mia nane)
 
Kama kweli vile!

Kila nikifikiria na Kukumbuka maswala ya Tsh 7800

Stori hii inakuja ,inakataa!
 
Kama kweli vile!

Kila nikifikiria na Kukumbuka maswala ya Tsh 7800

Stori hii inakuja ,inakataa!
 
Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kamaliza story ya Mama Agness ili aje na nyingine.

Mama Agness kauliwa tayari[emoji23][emoji23][emoji23]

Ni kama picha la kihindi, staring anafia kwenye maua
 
We Jamaa mimi sijuamini, kuna Asilimia 98 kuwa hii stori ni Ya Uongo.
 
Ila MAGALLAH R kwa hadithi za uongo unazotaka kutuaminisha kuwa ni ukweli hujambo.. Mimi uliniingiza chaka maramoja tu ile story yako na yule mdada wa Mwanza .. Kumbe ulikuwa wewe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema kuwa ana Id mbili, moja analalamika, nyingine anajijibu?
 
Tushamaliza matanga, shusha episode nyingine baba Aggy.....
 
Back
Top Bottom