Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
😆😆😆Karne ya 21 kwanini tuendelee kuongozwa na viongozi wanaoangukiwa na uongozi kama Unabii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Karne ya 21 kwanini tuendelee kuongozwa na viongozi wanaoangukiwa na uongozi kama Unabii?
Hhahahah kwamba zilikuwa na wino wa moto kutoka kwa jiwe mwenyewe. Hapo lazima waufyateinategemea na memo alizoonyesha Kakoko , je zilikuwa zinatoka wapi ?
Imeisha hiyo!Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG
Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la .
Tuendelee kufuatilia .
Kwan wewe mwenyewe huu uhai ulionao ulitegemea kuupata??you were just lucky,after millions of sperms only one was successful to make fertilization,so kila kitu dunian ni destiny ambayo ilishaandikwa,kubali au kataaMagufuli aliupata uRais kwa Zali/hakujiandaa. Samia naye ameupata Urais kwa zali pia, hakujiandaa.
Tuendapo ni Mungu anajua.
Ndio maana naona kama tunashangilia vitu baadae tunachoka na kushangilia. Maisha yanaendelea kama kawaidainategemea na memo alizoonyesha Kakoko , je zilikuwa zinatoka wapi ?
Karne ya 21 kwanini tuendelee kuongozwa na viongozi wanaoangukiwa na uongozi kama Unabii?
We jamaa wa CHADEMA unakua kama MATAGA sasa source ya hii habari ni ipi?[emoji38][emoji38][emoji38]
Sawa mama D. Kwema lakini?Tunasubiri majibu ya uchunguzi
Kwema kabisa joshydama, sijui kwako?Sawa mama D. Kwema lakini?
Niko poa kabisa. Nilikumisi sana.Kwema kabisa joshydama, sijui kwako?
Niko poa kabisa. Nilikumisi sana.
Basi nitakucheki Mama DNipo teletele, hujanitafuta tuu😃
Karibu🙏Basi nitakucheki Mama D
doh kumbe jamaa mzoef kaanza zamani haya marinjirinji
Ukishapata hiyo bahati sasa kazi iliyobaki ni kufanya mambo kwa uhakika, sio kulenga bahati tena.Kwan wewe mwenyewe huu uhai ulionao ulitegemea kuupata??you were just lucky,after millions of sperms only one was successful to make fertilization,so kila kitu dunian ni destiny ambayo ilishaandikwa,kubali au kataa
Ninachomaanisha ni kwamba, sanduku la kura liheshimiwe na watu wote.hata nabii haangukiwi kuna dalili watu wake hupewa.
ni vile tu wengine sio wajumbe wa kamati,hatuwezi jua kila kitu.
Haya mambo ndio huwa hatuyatakiImeisha hiyo!
CAG na Kakoko ni product ya Tanroads!