Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko aachiwa kwa dhamana baada ya TAKUKURU kukamilisha Uchunguzi dhidi yake kwa 98%

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu TPA, Deusdedit Kakoko aachiwa kwa dhamana baada ya TAKUKURU kukamilisha Uchunguzi dhidi yake kwa 98%

Hii ndio taarifa ya TAKUKURU iliyotolewa kwa vyombo vya habari , na kwamba hizo 2% zilizobaki zitakamilishwa na ofisi ya CAG

Hakuna Taarifa kama atafikishwa Mahakamani au la .

Tuendelee kufuatilia .
Imeisha hiyo!

CAG na Kakoko ni product ya Tanroads!
 
Magufuli aliupata uRais kwa Zali/hakujiandaa. Samia naye ameupata Urais kwa zali pia, hakujiandaa.
Tuendapo ni Mungu anajua.
Kwan wewe mwenyewe huu uhai ulionao ulitegemea kuupata??you were just lucky,after millions of sperms only one was successful to make fertilization,so kila kitu dunian ni destiny ambayo ilishaandikwa,kubali au kataa
 
Karne ya 21 kwanini tuendelee kuongozwa na viongozi wanaoangukiwa na uongozi kama Unabii?

hata nabii haangukiwi kuna dalili watu wake hupewa.

ni vile tu wengine sio wajumbe wa kamati,hatuwezi jua kila kitu.
 
Kwan wewe mwenyewe huu uhai ulionao ulitegemea kuupata??you were just lucky,after millions of sperms only one was successful to make fertilization,so kila kitu dunian ni destiny ambayo ilishaandikwa,kubali au kataa
Ukishapata hiyo bahati sasa kazi iliyobaki ni kufanya mambo kwa uhakika, sio kulenga bahati tena.
 
hata nabii haangukiwi kuna dalili watu wake hupewa.

ni vile tu wengine sio wajumbe wa kamati,hatuwezi jua kila kitu.
Ninachomaanisha ni kwamba, sanduku la kura liheshimiwe na watu wote.
 
Huyo Kakoko ndio keshaachiwa huru msihangaike kujipa moyo, ila wewe polisi chukua rushwa ya elfu thelathini ukamatwe ndio utajua hii nchi ina sheria.
 
Back
Top Bottom