Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.
Hizo CV ndio zina wafunika watu midomo hadharani.Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.
sasa hivi Mbatia ile kipara inamtoka jasho
Sidhani kama atachukua form.2015 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.Chenge Akili kubwa ndo mwanasiasa aliyebaki wa CCM halambi miguu...hivi amechukua fomu? Maana naona atakatwa
Mkuu una hisa nini?Wewe mwenyewe ndio mchafu zaidi, wacha kuwa na wivu wa kijinga mwacheni naye atumie haki yake kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.
Kama ulikuwa ni mpambe wa Mbatia tayari kishawaka rudisha posho hiyo maana hamtapata kitu hapo.
Mbatia Mbatia Mbatia
Tulikuambia ukajifanya kuwakimbia uwajua na kujiona kinara ukaanza kuzungumza kama mwanaume ulietimia ona sasa unarudisha jimbo kwa CCM kilaini haswa.......................... Pole sana ndio utarudi na NCCR yako ndoto eti uwe KUB my foot
Issue za Mademu zinamatter huko USA kwa wakristo.Huku Tanzania wanaogopa bure tu.Hizo CV ndio zina wafunika watu midomo hadharani.
Ingia wewe sasa kwenye siasa, tutakupekua mpaka kale kanguo ka pembe tatu!Acha ujinga usidhani ni mjinga kiasi hicho, yule phd yake syo ya kupewa,
Aroo!Issue za Mademu zinamatter huko USA kwa wakristo.Huku Tanzania wanaogopa bure tu.
Kachukue form wewe.Halafu hili jina lako linanikumbusha yule mtia nia Bariadi ,alifariki ghafla.Yule ilikuwa lazima ashinde lile jimbo letu.R.I.P Jidula mabambasi.Aroo!
Na mimi ri Arufonsi nipo hapa!
Sidhani kama atachukua form.2025 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.
Dah wenzetu ccm mshapita 2025,huu mwaka gani kwenu.?Sidhani kama atachukua form.2025 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.
Badala ajipange yeye na Chama chakeMbatia kashapewa alichostahili, maana alidanganya kuwa anawafuasi wengi kutoka cdm.
Matokeo yake kila alipo kuwa anaaga na wale wafuasi feki wanarudi cdm
Mkuu huyu hakufuata pesa,pesa anazo za kutosheleza bajeti ya serikali hii.CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.
Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Jamaa halina hata aibu na miwani kama mchimba [emoji184] rubyBadala ajipange yeye na Chama chake
NGUVU yote alipelekea cdm kuwashambulia
Ova
Mkuu una hisa nini?
2015Dah wenzetu ccm mshapita 2025,huu mwaka gani kwenu.?
Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.