Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Hela hazijai bwana asikwambie mtu.

Africa siasa ndio kila kitu, Nilitegemea mtu kama Kimei awe na likampuni likubwa sana au share holder mkubwa sana wa likampuni likubwa sana Tanzania na Africa likiwa limeajiri maelfu ya vijana wa KiAfrica lakini dah anakwenda kubishana hoja na akina Mlinga, Lijuakali, Kibajaji, Msukumu nk..

Hii ndio Tanzania bwana, raha sana kuishi huku..no stress..
 
Mzee wa vijisenti alisha waambia kuwa anaweza kukamatwa na polisi lkn hawezi kufungwa!
Madudu yapi ?Wengine wanafanya madudu kisomi. Hata ukimtafuta hupati traces. Ni kama mzee wa vijisenti huwezi dhibitisha madudu yake.
 
Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.
Hizo CV ndio zina wafunika watu midomo hadharani.
 
Chenge Akili kubwa ndo mwanasiasa aliyebaki wa CCM halambi miguu...hivi amechukua fomu? Maana naona atakatwa
Sidhani kama atachukua form.2015 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.
 
Wewe mwenyewe ndio mchafu zaidi, wacha kuwa na wivu wa kijinga mwacheni naye atumie haki yake kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.

Kama ulikuwa ni mpambe wa Mbatia tayari kishawaka rudisha posho hiyo maana hamtapata kitu hapo.
Mkuu una hisa nini?
 
Alikuwa anajidai kuirudisha KUB kwa NCCR, jamaa halina aibu kabisa na ni buree
Mbatia Mbatia Mbatia
Tulikuambia ukajifanya kuwakimbia uwajua na kujiona kinara ukaanza kuzungumza kama mwanaume ulietimia ona sasa unarudisha jimbo kwa CCM kilaini haswa.......................... Pole sana ndio utarudi na NCCR yako ndoto eti uwe KUB my foot
 
Hata mimi naona kabisa maana Magu hataki watu wanajielewa.
Sidhani kama atachukua form.2025 JK alimpitisha,safari hii Magufuli lazima ale kichwa.Naona atajiongeza mwenyewe na hatachukua form.
 
Hilo Jimbo pia Lau Mlaki Nae amechukua form kuonyesha Ana Nia. Lakini nadhani Dr Kimei anastahili Kupata nafasi maana Hana njaa.

Wazee wa kuzoom na kufukua makaburi mmetaja mpaka msaidizi wake Tuli. Wabongo kwa fitina hatujambo. Tuli mke wa mjeda.
 
Mbatia kashapewa alichostahili, maana alidanganya kuwa anawafuasi wengi kutoka cdm.

Matokeo yake kila alipo kuwa anaaga na wale wafuasi feki wanarudi cdm
Badala ajipange yeye na Chama chake
NGUVU yote alipelekea cdm kuwashambulia

Ova
 
CEO/MD alikuwa anachezea Mabilioni ya Shilling na Dollar leo anaenda kukimbizana na Tsh 12m per month.

Huo mkopo wa 800m+ alikuwa na uwezo wa kuupata pale CRDB!!
Mkuu huyu hakufuata pesa,pesa anazo za kutosheleza bajeti ya serikali hii.
Huyu anataka kurudisha Mkoa wa Kilimanjaro CCM iliwasitengwe na serikali ya CCM.Wameishaona hasara zake hasa toka Magu achukuwe madaraka.In return matajiri wa Kilimanjaro warudi kufanya investment nchini.
Nafikiri hata yule Mkuu wa Mkoa wa Tabora mstaafu yupo kutimiza jambo hilo hilo,kushiriki kwenye maamuzi ya kiserikali ngazi za juu.
Ila sijui yule NCCR aliyetumikia CCM kwa uwanifu ataenda wapi?
 
Kumbe issue za mademu. Hata Magufuli alikuwa na issue za kina Sundi,Kabula ila alipita. Issue za mademu kwa siasa za Tanzania hazina mashiko. Maana Ujingi/Uzinzi ni sehemu ya maisha yetu. Halafu hiyo issue ya Tuli haina ushahidi wowote. Hata kama ingekuwa na ushahidi kumbuka Magufuli kazaa kabisa na Sundi Malomo. Ila kwa sasa MAGUFULI ndo Rais.

Sema ni sehemu ya maisha yako sio ulazimishe umalaya kwetu unaskia wewe?
 
Back
Top Bottom