Uchaguzi 2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

Safari hii CCM hela ya kampeni inapatikan kwenye fomu na zile za harambee kwa watia nia wote.

Magu hapana chezea YEYEEEE.
 
Safari hii CCM hela ya kampeni inapatikan kwenye fomu na zile za harambee kwa watia nia wote.

Magu hapana chezea YEYEEEE.
Kama ndio ivyo kwaweli watazikusanya kwa haraka haraka Kilimanjaro leo washatengeneza sh/m 24.1
 
Anacheza na muelekeo wa upepo maana kwa sasa ukijifanya kujua unaungua na jua
Daaah Daktari Kimei ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana, CCM doesn't deserve such a guy.
Nimejisikia vibaya sana kuona msomi kama yeye anajiingiza kwenye hizi siasa za Tanzania.
 
Sijabisha, ila ww hukunielewa.
Tatizo unatumia makalio kufikiri unataka nikutajie take home ya waziri,am I paymaster?

Unataka nikutajie marupurupu na posho..hivi mtu akijiamulia tu leo anaanza ziara huko katavi ya kukagua sijui mrad wabarabara..unafkiiri huwa ni bure?

Anyway huwa kunakuwaa na bajeti za kila wizara so na mshahara wake na mazaga yote yanakuwa humo.
 
nimecheka sana hapo uliposema ana pesa za kutosheleza bajeti ya serikali hii [emoji23][emoji23]
embu ngoja na mimi nitafute pesa aise
Ahaa yule Kimei ni trillionnia ana uwezo mkubwa sana.Sema is smart hataki gozi gozi na tawala.
Being CEO wa CRDB from translational hadi ana chicken out .Sio mtu mdogo ni sawa sawa na mgodi mzima wa Merelani Tanzanite
 
Mkuu ww ndio unatumia makalio kufikiri,
Hoja yangu ilikuwa kwamba waziri ana maslahi makubwa sana kuliko Huyo CEO au DIRECTOR GENERAL,
Sasa na ww kwa interpretation skills zako ndogo ukaelewa kinyume
 
Mkuu ww ndio unatumia makalio kufikiri,
Hoja yangu ilikuwa kwamba waziri ana maslahi makubwa sana kuliko Huyo CEO au DIRECTOR GENERAL,
Sasa na ww kwa interpretation skills zako ndogo ukaelewa kinyume
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
How old is TRUMP?? Hillary Clinton??
 
Ahaa yule Kimei ni trillionnia ana uwezo mkubwa sana.Sema is smart hataki gozi gozi na tawala.
Being CEO wa CRDB from translational hadi ana chicken out .Sio mtu mdogo ni sawa sawa na mgodi mzima wa Merelani Tanzanite
Kwani mgodi mzima wa tanzanite una thamani kiasi gani?
 
Huu ndio mwisho wa heshima ya Bwana Kimei.
Siasa ni chafu, na madudu yake sasa hadharani.
You have a point! Kimei angetulia ale pension yake badala ya kwenda kupambana na akina Mbatia. Siasa zitamuanika mtu huyu.
 
Kimei anajitafutia ugonjwa wa moyo. Watu hawatosheki. Kwa kweli namshangaa kwenda huko kugombea ubunge badala ya kukaa na kulea wajukuu. Hivi unaanza kupambana na akina Mbatia ambao wapo kwenye siasa tangia utoto wao si kujitafutia kiharusi. Atafumuliwa hadi ashangae
 
Has Trump or Clinton ever retired before and opted for a political pisition!??
Kimei is a retired old men...
Trump retired at his TRUMP businesses and handed over all powers to his daughter and sons.. He is US President now..
 
Trump retired at his TRUMP businesses and handed over all powers to his daughter and sons.. He is US President now..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hawa ndio watu wa kutuongoza,CV inaongea hatumii nguvu kupiga kampeni.
Watupunguzie vilaza bungeni,manake vilaza kibao wengine wana elimu lkn hawana experience wanaropoka,wengine elimu zao ndogo ila wanachokiongea wana kijuaga wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…