wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Safari hii CCM hela ya kampeni inapatikan kwenye fomu na zile za harambee kwa watia nia wote.Jimbo la Vunjo watia nia 28 siku ya kwanza tu, Kilimanjaro nzima watia nia 241 na uenda wakaongezeka siku tatu zijazo.
Ukichukua watu wote wanaogombea ubunge na udiwani wa vyama vyote nchi nzima si ajabu tunajuza uwanja wa mpira. Siasa kweli ni ajira yenye mvuto.
Magu hapana chezea YEYEEEE.