mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Alale kunakostahili.kama bata kala sana huyu mzee vibinti kapiga sanaa daaah nikikumbuka zile gari nyekundu nawaza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah habari hizi ni za kweli??
Source ya kifo ni nini, au kale kaugonjwa ketu pendwa??
Maana kuna tetesi kuwa alikuwa carrier mzuri tu na kawasambazia wasanii wa bongo movie wa kuotosha, kwa kuwahonga magari mazuri mazuri
R.IP anyway, japo marehemu hasemwi vibaya, ila ufisadi ulioufanya BoT ni mzito mno na umeua wengi sana kwa kukosa madawa hospitalini, haki za wazee wastaafu kukosa mafao yao na mengine kibao, cha ajabu hela zote umeziacha wengine wakizitafuna.
aliwasaidia sana mabinti wa kike kimaisha..
Nilishawahi kufanya tempo reception niliona huyu mzee alivyokuwa akiwawezesha wadada
inaonekana uko mchunguzi sana,unachukua chemistry nini?Kwani kuna mabinti wengine wa kiume?
Ki vipi? Kwani alitakiwa afe mapema? Mimi naona kuishi kwingi au muda mfupi ni majaliwa yake MolaRIP ila ameishi sana dah!
Kweli mana alitakiwa afungwe na mali zke ztaafishwe.Rest in peace ,liyumba,taifa limepoteza mtu muhimu sana
A.k.a Ngwe ngweNgoma
Kwani umeombwa uchangie si ukar kimyaSitaki sasa, majibu gani hayo.
Wewe dogo naona ushagonga majani kidogo
Yawezelana kabla ya kufa kwake alishatubu nakukiri makosa yake mbele yamungu wake.Wanadai watu Wema huwa hawadumu! Lakini sijajua kama Wema wake ni wa jinsia moja au wote! Pumzika kwa amani A Liyumba!
Chenge kafanyaje kwenye uzi huu wa marehemu?Ni miongoni wa Watanzania wachache waliokuwa na upeo wa hali ya juu kuwahi kutokea Tanzania kando ya akina Chenge
Alikula viboga sana watu flani. RIP.ALIYEKUWA MKURUGENZI WA BOT; AMATUS LIYUMBA ;AFARIKI DUNIA
The creator of BOT Twin Towers.View attachment 340060
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.
R.I.P
R.I.P Amatus Liyumba..View attachment 340060
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.
R.I.P