Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Dah! Watakukumbuka sana wadada wa mjini na zile Rav 4 nyekundu ulizokuwa ukiwapa kama njugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Watakukumbuka sana wadada wa mjini na zile Rav 4 nyekundu ulizokuwa ukiwapa kama njugu.
Rest In Peace Mzee wetu Liyumba
Kifungo ulichopata kwa visa vya mapenzi huenda kimechangia kufa mapema zaidi lakini nenda ukijua kuwa kwa sasa tumegundua kuwa waliokufunga walifanya madudu makubwa zaidi ya yale ya kwako. Kwenye bomba la gesi wamepiga zaidi ya mara tano ya mlivyopiga kwenye majengo pacha na wao wanadunda mtaani wewe ulitumikia kifungo
Nani huyo tena mlete tumjadiri ili aache ako katabiaNi bora na huyu aliye iba na kugawia mabinti zetu magari kuliko yule msambaza pingu mwenye kuwachezea watoto zetu na kuwahonga Laki moja moja.
Wabongo movie wamefanyaje mkuu?Dah habari hizi ni za kweli??
Source ya kifo ni nini, au kale kaugonjwa ketu pendwa??
Maana kuna tetesi kuwa alikuwa carrier mzuri tu na kawasambazia wasanii wa bongo movie wa kuotosha, kwa kuwahonga magari mazuri mazuri
R.IP anyway, japo marehemu hasemwi vibaya, ila ufisadi ulioufanya BoT ni mzito mno na umeua wengi sana kwa kukosa madawa hospitalini, haki za wazee wastaafu kukosa mafao yao na mengine kibao, cha ajabu hela zote umeziacha wengine wakizitafuna.
Ni ule msukosuko wa EPA.kisa cha kifo chake ni nini ?
Mkuu unautani mbaya! Hapo ungeongeza na ka glass ka cheers hewani ingekuwa poa balaa.
Una uhakika kabla ya kifo ilikuwa ni hivyo hivyo?? utajuaje baada ya ile mitihani kumfika alitubu na kurudi kwa Mungu wake.???Kama yeye alishindwa kumtambua/kumuomba mungu kwa mema unategemea wewe ndo utasikilizwa na mungu.yeye aliamua kuwa mtu muovu ndo njia aliyoichagua.
Ukiipata nitag lol.Tupeni hio link ya hio thread jamani
Red Car?Mademu walinufaika sana enzi zake,
nimeelewaHeri yako uliye nielewa.....🙂😀😛
Mbona mstaafu anatabasam sana?!