Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah aiseee, nashindwaga kuelewa hawa wezi wa mali za umma.Huo ndio ukweli mkuu maana mtu atafanya ubaya woote anao weza lakini ikifika hukumu ya maulana hakuna baunsa wala mpambe atakaye weza kukutetea
Soma maandiko uelewe, hakuna asiyeweza kukwepa kufa. Ili uhukumiwe ni lazima ufe kwanza. Kisha wote tutafufuliwa siku hiyo itakapofikaJe haujui kuwa siku ya mwisho kuna watakao kutwa wapo hai?
Najua ila Kitendo cha huyu Jaamaa kulala na mtoto WA kumzaa ilhali a anajijua ana matatizo ya kiufundi..... Alipaswa afe papo Kwa hapo[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Eti finally wakat mwenyewe nawe unakwenda
Huyu. Alikuwa mgonjwa..... Anyamazishwe Kwa lipi?!I got different feelings about Liyumba's death! I still don't understand how Balali died, at the same time I can't even contamplate what met whistle blowers like Absalom Kibanda to befell such a fate
If it could have been times when Ditto died, then it could be the different story altogether.
Wananyamazishana wenyewe?
Alitumikia miaka2 jela... Na akiwa amebakiza siku kadhaa atoke akadakwa na simu bahati nzuri hakuongezewa kifungoHivi Ile kesi yake ya ufisadi wa bot iliishia wapi? Anyway RIP mzee liyumba aka mzee wa magari mekundu.
Hivi ile kesi na mkewe ya kutaka kuuza nyumba iliishia wapi?View attachment 340060
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.
R.I.P
alikuwa anaumwa au ghafla?nauliza kujua tu..kama familia ilipata nafasi ya kumuuguzaView attachment 340060
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.
R.I.P
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imenifanya nicheke sana[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji2] [emoji2]
mwisho wa wiki, siku ni saba tumh..!!siku ya mwisho gani?