TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Hamna haja ya kukebehi maana unaweza kuta mkeo/girlfriend aliwahi kula fadhila za marehemu na wewe kwa namna moja au nyingine kwa kujua au kutojua na ukaspend life kwa jasho lake!
@Liumba RIP
 
Huyo mdingi inaonekana alipata gonjwa pasipo kutarajia so ikampa desperation na kuwa na roho ya ukatili ila i guess kuna possibility labda alikuwa anahonga tu magari pasipo kuchimba dawa vizuri. Maana kwa mwanaume +ve halafu awe mfano anachimba vizuri hao wadada aliopita nao wote tungeskia vilio.. But kwenye hiyo list most wanaonekana wame settle tu na wapo vizur kiafya kimuonekano hata kisaikolojia

No offense ... R.I.P A. Liyumba
alikua akipaki msichana hotel anatoa hela ya kama wiki halafu haonekani hata,akija anaishia kwenye gari ,unapeleka invoice anaclear deni kisha huyoo,
anaishia,geto haingii na ikitokea ameingia hazipiti dakika tano unamuona huyoo anakuaga anaishia zake baada ya kuwaachia keep change ya kutosha
 
Daaah basi hobby yake ilikuwa kuhonga tu na sio kugegeda ndo mana basi wadada wa mujini walikuwa wanampenda.
 
Eeeh Mungu Mumba ebu endelea kutupunguzia haya mafisadi, yakusanye kwa wingi kadri upendavyo.
 
Nadhani haya siyo maombi mazuri... Maombi mazuri ni yale ya kusema Mungu amsamehe makosa yote aliyofanya duniani na amuweke mahali pema peponi
Baada ya kifo ni hukumu, kama ulitenda maovu hakuna kusamehewa dhambi.
 
Hapo ndio tunapokuja kuheshimiana, pole sana kwa familia ya Liyumba japo tutazimiss zile gari nyekundu Mjini.
 
Dah habari hizi ni za kweli??

Source ya kifo ni nini, au kale kaugonjwa ketu pendwa??
Maana kuna tetesi kuwa alikuwa carrier mzuri tu na kawasambazia wasanii wa bongo movie wa kuotosha, kwa kuwahonga magari mazuri mazuri

R.IP anyway, japo marehemu hasemwi vibaya, ila ufisadi ulioufanya BoT ni mzito mno na umeua wengi sana kwa kukosa madawa hospitalini, haki za wazee wastaafu kukosa mafao yao na mengine kibao, cha ajabu hela zote umeziacha wengine wakizitafuna.
Mbona unamsema vibaya marehemu au alipita na mke wako umeamua kumaliza hasira zako.
 
Amekufanamachunguusana wajanjawalichukuamalizake wakadaiwanamfilisi akashangaa ziko.mtaan zikiliwa kama alivyokula dadazetu

Rip
 
Amekufanamachunguusana wajanjawalichukuamalizake wakadaiwanamfilisi akashangaa ziko.mtaan zikiliwa kama alivyokula dadazetu

Rip
Pdidy,

Sasa naona ume improve kiswahili hongera sana naanza kukuelewa.
 
Amekufanamachunguusana wajanjawalichukuamalizake wakadaiwanamfilisi akashangaa ziko.mtaan zikiliwa kama alivyokula dadazetu

Rip
[emoji12] [emoji12] [emoji12] space bar Haifanyi Kaz mkuu ?! Au upo kwenye bodaboda?!
 
Back
Top Bottom