TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

ALIYEKUWA MKURUGENZI NA MTUMISHI WA BENKI KUU BOT , AMATUS LIYUMBA AMEFARIKI DUNIA , MSIBA HUKO NYUMBANI KWAKE TRIPLE SEVEN MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM

eTI NINI? AH! SORRY NIDHANI ULISEMA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA MATUMIZI!!! R.I.P
 
Director Joan kapata msiba mkubwa Sana yupo huko insta anaelezea Wema wa marehemu kwake. Maimartha sijui ana hali gani sasa.[emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Abeeee
 
Huyu jamaa kafariki aliwahi onga mademu kibao Rav 4,apumzike mahali anapostahili.
 
View attachment 340060
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.

R.I.P
huyu mzee amekufa na laana za watanzania kwa kuwaibia mabilioni ya hela huku akifungwa kifungo laini kisicholingana na kiasi cha fedha za umma alizoiba. anyway, rip liyumba.
 
Kwani alishatoka lupango? je binti yake kakamatwa au bado yupo huru? Mimi siwajui ila nasoma JF ndo najifunza watu na matukio huwa napita tu please nijuze. Niliona alikuwa kwenye list ya wauza sembe isijeikawa wamamkolimba ili wale sembe mhu mi sijui nauliza tu? Kwani bank ya Sembe ipo wapi ili nasi tuone kama tunaweza pitia hata once???
 
Back
Top Bottom