Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aliwasaidia sana mabinti wa kike kimaisha..Umunimu wake ilikuwa ni upi huo?
Muumba ampunguzie yote mabaya aliyotenda hapa Duniani?
Roho inachafuka na nini?pesa sabuni ya roho,
Kuna Thread iliwataja majina kabisa wale wote waliofaidika magari mekundu,kama unaikumbuka nitag basi.Alikua nani yake director Joan... naona nae anasikitika kifo chake
Tupeni hio link ya hio thread jamaniKuna Thread iliwataja majina kabisa wale wote waliofaidika magari mekundu,kama unaikumbuka nitag basi.
Hata milima inavunjwa RIP liyumbaItayobaki milele ni milimaa.. Mungu mlipe kutokana na matendo yake..
Mabosi wengi wapenda totoz uwa wako social sana kwa subordinates wao na pia upenda sana utani utani mwingi. Utani huo pia uwasaidia kuwanasa kirahisi akina dada wazuri wazuri wanaofanya kazi katika taasisi zao.Kuna jamaa yuko BoT alikuwa anasema hawatakaa wawe na Boss kama huyu...
Sumu kwako kwa mwenzio maziwa...
Hakuwa na roho nzuri kwa wadada wa mujini peke yake...hata kwa subordinates wake alikuwa good boss
Huo ndio huwa tuna ita ulafi mkuu na bado wengi wataziacha hizo noti[/QUOTE]Dah aiseee, nashindwaga kuelewa hawa wezi wa mali za umma.
Mtu una miaka sitini na ushee halafu unachota mabilioni ya walala hoi huku maisha yako hayafiki hata miaka 30 mbele, halafu mbaya zaidi unaishia kutumbua tu na vimwana mjini.
Laana nyingine huwa ni za kujitakia aisee, kaacha laana kubwa sana kwa watoto wake
Alisababisha hasara ya 221 bilion lakini akafungwa mwaka moja tu, hela yenyewe akawanunulia warembo magari, jamani kibaya zaidi hakuwapa hata watoto wake hela ya maana bintiye yuko Lindi kwenye gereza kwa tuhuma za kuuza unga, sijui ataruhusiwa kwenda kuzika huyu?[/QUOTE]Huo ndio huwa tuna ita ulafi mkuu na bado wengi wataziwacha hizo noti
Hakuna mtu atakayeishi milele. Kifo kama maisha ni vya kawaida na kutegemewa kutokea kwa mtu yeyote.
Pdidy aliwahi kuanzisha uzi humu mwaka 2008 akimuulizia sana huyu jamaa, na tukamuelezea kwa undani sana, mjadala wake ulikuwa mpana sana, watu walimwaga mboga za hatari miaka hiyo JF ikiwa bado iko moto kwa habari za jikoni.Kwanini mnamtagi mpwa Pdidy
ni msisitizo tu. Siunajua tena kitu cha Arusha kikishachanganyakulikua na sababau yoyote ya kuandika hilo neno??