TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Usikute kafa kwa presha akihofia kurudishwa jela kwa ufisadi aloufanya baada ya kutoka jela.
 
Director Joan kapata msiba mkubwa Sana yupo huko insta anaelezea Wema wa marehemu kwake. Maimartha sijui ana hali gani sasa.[emoji1] [emoji1] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwani vepeee
 
Kila bonde litajazwa na milima yote itashushwa.

Halitabaki jiwe hata moja ambalo halitabomolewa. Hakuna kidumucho zaidi ya NENO!.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] soon Wakati planet x ikitupondaponda
 
Back
Top Bottom