TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Akalale panasotahili kwa mujibu wa matendo yake aliyoyafanya hapa duniani

Nadhani haya siyo maombi mazuri... Maombi mazuri ni yale ya kusema Mungu amsamehe makosa yote aliyofanya duniani na amuweke mahali pema peponi
 
Huo ndio ukweli mkuu maana mtu atafanya ubaya woote anao weza lakini ikifika hukumu ya maulana hakuna baunsa wala mpambe atakaye weza kukutetea[/QUOTE]
Dah aiseee, nashindwaga kuelewa hawa wezi wa mali za umma.

Mtu una miaka sitini na ushee halafu unachota mabilioni ya walala hoi huku maisha yako hayafiki hata miaka 30 mbele, halafu mbaya zaidi unaishia kutumbua tu na vimwana mjini.

Laana nyingine huwa ni za kujitakia aisee, kaacha laana kubwa sana kwa watoto wake
 
Huo ndio ukweli mkuu maana mtu atafanya ubaya woote anao weza lakini ikifika hukumu ya maulana hakuna baunsa wala mpambe atakaye weza kukutetea
Dah aiseee, nashindwaga kuelewa hawa wezi wa mali za umma.

Mtu una miaka sitini na ushee halafu unachota mabilioni ya walala hoi huku maisha yako hayafiki hata miaka 30 mbele, halafu mbaya zaidi unaishia kutumbua tu na vimwana mjini.

Laana nyingine huwa ni za kujitakia aisee, kaacha laana kubwa sana kwa watoto wake[/QUOTE]
Huo ndio huwa tuna ita ulafi mkuu na bado wengi wataziwacha hizo noti
 
Dah habari hizi ni za kweli??

Source ya kifo ni nini, au kale kaugonjwa ketu pendwa??
Maana kuna tetesi kuwa alikuwa carrier mzuri tu na kawasambazia wasanii wa bongo movie wa kuotosha, kwa kuwahonga magari mazuri mazuri

R.IP anyway, japo marehemu hasemwi vibaya, ila ufisadi ulioufanya BoT ni mzito mno na umeua wengi sana kwa kukosa madawa hospitalini, haki za wazee wastaafu kukosa mafao yao na mengine kibao, cha ajabu hela zote umeziacha wengine wakizitafuna.
Sasa wewe ushamsema vibaya
 
Hawa ni baadhi ya wachache walioitafuna hii nchi walicyotaka,.


ANYWAY Rest In Accordance
 
r.i.p kuna uzi mmoja pididy aliuleta humu kitambo kidogo sijui Rav4 nyekundu kwenye list sijui Mage kimmambi sijui nini na nini! Mungu ampe pumziko la milele
Wataalamu wa kemia tunaita "long chain of carbon to carbon bond...ie C-C"
 
Back
Top Bottom