TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Kawaida mtu akifariki watu wanataka wajue nini kilimsibu mpaka umauti umemfika. Je amefariki baada ya kuugua muda mfupi? Mrefu amefariki ghafla au vipi? Hivi unaweza kupewa taarifa fulani amefariki bils kugusia amefarikije? Naons wengi wanssema RIP kama vile walijua atakufa
 
Hakuna mtu atakayeishi milele. Kifo kama maisha ni vya kawaida na kutegemewa kutokea kwa mtu yeyote.
 
Duuuh...tangu alipotoka jela afya yake ilikuwa mgogoro..poleni wafiwa na wote mlioguswa na msiba huo.
 
Back
Top Bottom