TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

R.I.P. A GREAT PERSON INDEED. Njia ni ile ile. Akina Bilali waliondoka. Hata hao wa Tegeta Escrow, na Escrow part II nao watafuata tu, na maekalu yao yatabaki hapa hapa kwa udongo.
 
Nadhani haya siyo maombi mazuri... Maombi mazuri ni yale ya kusema Mungu amsamehe makosa yote aliyofanya duniani na amuweke mahali pema peponi
Kama yeye alishindwa kumtambua/kumuomba mungu kwa mema unategemea wewe ndo utasikilizwa na mungu.yeye aliamua kuwa mtu muovu ndo njia aliyoichagua.
 
RIP..
....
Bahati ni kuwa mchepuko hauna alama..
Na hawara hana talaka.....
atakumbukwa kwa mengi hasa kwa upendo ule wa kweli wa kuchota huku na kula yeye na wengine kuwapa tena wale jinsia nyingine .akiwahurumia sana mpaka kuwapa magari na vikubwa zaidi.
Mungu atampa stahili yake kwani kaacha kumbukumbu zisizifutika kwa warembo..
Kuna jamaa yuko BoT alikuwa anasema hawatakaa wawe na Boss kama huyu...
Sumu kwako kwa mwenzio maziwa...
Hakuwa na roho nzuri kwa wadada wa mujini peke yake...hata kwa subordinates wake alikuwa good boss
 
Watakuwa Hoi......
a16e2647d5376ca7795cdae846b72851.jpg
 
Kila bonde litajazwa na milima yote itashushwa.

Halitabaki jiwe hata moja ambalo halitabomolewa. Hakuna kidumucho zaidi ya NENO!.
Hilo neno litadumu kumhubiria nani wakati viumbe vyote vimefutika/vimetoweka ulimwenguni?
 
Si sahihi kumpangi au kumuamuru Mungu amuweke wapi nani na kwa lipi bali namna nzuri ni kumuacha amuweke panapostahili...sisi tunachoweza kufanya ni kumuomba Mungu amhurumie...
Lakini si kuna ile uwa tunaambiwa kuwa ndugu wa marehemu na pia watu wake wengine wa karibu kama marafiki wanaomtakia mema wanaweza wakawa wanamtolea sadaka nyingi kanisani kwa kadiri wawezavyo ili kumwombea msamaha kwa Muumba na kisha kupunguziwa adhabu yake? Hivi hili jambo linawezekana?

Kama hilo jambo linawezekana basi kwa fedha zake alizojichotoea akiwa madarakani zitatumika kumpunguzia adhabu kwa Muumba!
 
Kama yeye alishindwa kumtambua/kumuomba mungu kwa mema unategemea wewe ndo utasikilizwa na mungu.yeye aliamua kuwa mtu muovu ndo njia aliyoichagua.
Duh, haya bwana, kazi ipo...
 
Wanadai watu Wema huwa hawadumu! Lakini sijajua kama Wema wake ni wa jinsia moja au wote! Pumzika kwa amani A Liyumba!
 
Back
Top Bottom