TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

Huyu jamaa alikuwa pepo kitombii sana. Alimgonga mpaka mtoto wake wa damu
 
Alisababisha hasara ya 221 bilion lakini akafungwa mwaka moja tu, hela yenyewe akawanunulia warembo magari, jamani kibaya zaidi hakuwapa hata watoto wake hela ya maana bintiye yuko Lindi kwenye gereza kwa tuhuma za kuuza unga, sijui ataruhusiwa kwenda kuzika huyu?
Hiyo haki kwa tanzania sidhani kama inaweza kutumika ya kumpeleka mfungwa kwenda kuzika[/QUOTE]
Mbaya zaidi yuko kwenye lile gereza ambalo hata mkuu wa magereza anawaogopa na kuomba waongezewe ulinzi, huyu akitoka atakuta hata kaburi limefutika maana lile rumbesa la unga lilikuwa si la kawaida.
 
Hiyo haki kwa tanzania sidhani kama inaweza kutumika ya kumpeleka mfungwa kwenda kuzika
Mbaya zaidi yuko kwenye lile gereza ambalo hata mkuu wa magereza anawaogopa na kuomba waongezewe ulinzi, huyu akitoka atakuta hata kaburi limefutika maana lile rumbesa la unga lilikuwa si la kawaida.[/QUOTE]
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh ule mzigo ulikuwa ni funga kazi na kama ungefika salama basi huyu dada tunge mkoma mitaani
 
Alikua nani yake director Joan... naona nae anasikitika kifo chake
Kwenye ile list ya waliomegwa na marehemu huyu nae alikuwepo, kuna jina la JOAN.. inaelekea alimfadhili sana ndio maana analia hadharani.
 
Si ana mahela, si nasikia wanabadilishaga sijui damu sijui figo, sijui, maini, Ah! Sijui nini vile!
Ku flash muda mwingine kunashindikana. Kipindi hiki cha magufuli wataondoka wengi sana coz hawa watu walikuwa wanatumia safari za njee kikazi kwenda kuflash damu
 
RIP Liyumba! Jamaa mabinti zake warembo balaa, long ago nilikuwa nasali nao jumuia kuna half castes wa kihindi, mzungu u name it dah.
 
Back
Top Bottom