TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT, Amatus Liyumba afariki dunia

r.i.p liyumba kuanzia sasa tutasikia meng
 
RIP..
....
Bahati ni kuwa mchepuko hauna alama..
Na hawara hana talaka.....
atakumbukwa kwa mengi hasa kwa upendo ule wa kweli wa kuchota huku na kula yeye na wengine kuwapa tena wale jinsia nyingine .akiwahurumia sana mpaka kuwapa magari na vikubwa zaidi.
Mungu atampa stahili yake kwani kaacha kumbukumbu zisizifutika kwa warembo..
 
Breaking News: Aliyekuwa
Mkurugenzi na Utumishi wa
Benki Kuu ya Tanzania ( BOT)
,Amatus Liyumba amefariki
dunia ,msiba uko nyumbani
kwake maeneo ya Triple
Seven,Mikocheni jijini Dar.
 
View attachment 340047
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.

R.I.P
Huyu ndiye alikuwa anachezea noti kama atakavyo,tuna muombea upunguziwe adhabu ya akhera
 
[/QUOTE]
Huo ndio ukweli mkuu maana mtu atafanya ubaya woote anao weza lakini ikifika hukumu ya maulana hakuna baunsa wala mpambe atakaye weza kukutetea
 
kafa mwezi mmoja na Sokoine,'deathmate' 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…