Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt. John Pima na wenzake wameshinda rufaa ya kupinga kifungo cha miaka 20 jela

UKIFUNGWA NCHI NA HUKU UNA PESA NI UJINGA WAKO
 
Urefu wa kamba
 
Game plan. Kosa lipo, Zalisha loophole, Nenda Rufaa shinda kesi on technicalities
 
Sasa walipelekaje kesi mahakama isiyo sahihi? Hao waliopeleka waliishia darasa la ngapi? Au ndo wanajiota learned brothers and sisters?
 
Huu ni ushahidi tosha Mahakama zetu zipo kwa ajili ya kuwashughulikia masikini tu. Matajiri na bigogo wa serikali nadhani haziwahusu.
 
Tangu lini wenye pesa na Wanasiasa wakaenda jela?

Makonda Yuko sahihi ,Mahakama ipo kuhalalisha na kubariki wezi na Wanasiasa na pia kuhukumu maskini.

Inakera sana.Maskinintafuteni pesa kutegemea Wanasiasa haiwezi kumsaidia,pesa ndio inakupa Haki huko mahakamani.Inakera sana.
 
Hakuna mwanasiasa ambae sio fisadi huko Serikalini
 
Wawekeze nguvu zote kumbomoa Mrisho Gambo
 
Yaelekea wapo watu ambaohaqawwzi kushtakiwa kwa vigezo fulani. Je hao wako juu ya sheria? Ndugu zetu Wasomi tujuzeni kuhusu hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…