TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Jamaa ana siri nzito za wakubwa awamu ya nne!au ndo style ya balali
 


kuumwa isiwe excuse ya kupewa hukumu,,,,watu huugua na hupona watu huugua na kufa nini kigeni....pole kwa wafiwa na kama alikua mgonjwa wa siku nyingi msihuzunike sana ni mipango ya mungu
 
Namsubiri Magomeni Mwembechai huyu OKW BOBAN SUNZU akipita uchi barabarani, na tumshangilie!!!!
 
Asante kwa taarifa Mkuu, ila huyu mtu hakutumbuliwa mwezi Mei, kumbukumbu zinaniambia alitumbuliwa mwezi April.
 
Kabwe amefia hapa Dar es salaam ,ostabey baada ya kutoka India, anasafirishwa Jumanne kwenda mpinji kwa mazishi. Na kwa yeyete anayetaka kwenda kuna magari ya bure kwenda na kurudi.
Nayetaka kwenda ani PM
 
RIP
Ila kifo kipo tu wala huwezi ku ki suspend.
Sasa wewe nenda Muhimbili utaona maiti teleee,sasa iweje yeye awe ni wa kipekee.
Muhim ni kumuombea tu
 
naona mafisadi wengi mwaka huu lazima wateseke Sanaa na adhabu yao ni kifo tuu
 
Sasa hivi ukitumbuliwa,anza kuandaa kaburi lako, budget ya maziko yako na unda kamati ya mazishi yako! Ufisadi ufanye wewe, kufa usumbue wengine.pumbavu
 
'Shock' ni moja ya kisababishi kikubwa sana cha magonjwa na kifo kwa binadamu coz hupelekea 'stress'. Kupunguza hali hiyo wataalamu wa raslimali watu walikuja na neno "SIRI"katika baadhi ya mawasiliano kazini. Barua za uteuzi, kupandishwa cheo, kupewa onyo, kusimamishwa kazi, kufukuzwa kazi, kujibu charge za kinidham kiutaratibu ni "SIRI" Hiyo imewekwa kitaalamu ili kupunguza psychological shock kwa mlengwa.
 
May Almighty God rest his soul in peace, Anen
 
Kabwe amefia hapa Dar es salaam ,ostabey baada ya kutoka India, anasafirishwa Jumanne kwenda mpinji kwa mazishi. Na kwa yeyete anayetaka kwenda kuna magari ya bure kwenda na kurudi.
Nayetaka kwenda ani PM
Mkuu mpinji ni wapi tena?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…