Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Okay. Nikajua ni wa Mara, maana alivyo alivyo kama wale jamaa.!
Same- milima ya upare karibu na kwa kina Ombeni Sefue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same- milima ya upare karibu na kwa kina Ombeni Sefue
RC Makonda alisema hawezi kufanya kazi na Mr Kabwe, itashangaza wengi endapo ataudhuria msibani. Kwani utampendaje mtu baada ya kufariki? Huo utakuwa unafiki mkubwa sana.
Kumbe tupo wengi mkuuKafa na nini nikiwaza kifo hua siitaji ata kumkalipia mtu
Neno kuntuR.I.P marehemu W. Kabwe. Miaka uliyoishi si haba,1956_2016. Alituhumiwa kwa ufisadi, sijui vichanga ngapi walipoteza maisha bila kuonja hata maisha ya wiki kwa sababu ufisadi wetu?
Leo hakuna kusifiwa maana wanandugu wamekataa serikali kuleta pua zao kwenye msiba! Najiuliza wana ndugu hivi ndugu yenu alionewa? Kweli chako ni chako hta mimi ningelifanya hivyo kusema kweli , nisingeliikaribisha serikali!Presha ya kutumbuliwa hiyo. Ngoja tuone atakavyosifiwa. Utasikia "MAREHEMU ALIKUWA MCHAPA KAZI MWAMINIFU KWA UMMA NK".....R.I.P
Hahaaaaa msiban ndie anawakilisha serikali NA jamaa alikuwa ntumzuri Sana'a mchapakazi muadilifu chezea kifoRIP. Tusubiri tuone Makonda na bosi wake watajitetea vipi
Ikute Makonda ndo atakuwa frontline kwenye kuaga mara ya mwisho,dah si mchezo.Ila jamani kutumbuliwa hadharani inatakiwa baadae uwaone washauri wa kisaikolojia aisee other wise waweza ondoka kabla ya siku zako[/QUOTE
Umenifanya nimeitafuta hiyo movie kamanda.......dah.....sipendagi movie za kihindi lkn hii imenigusa sana.......dogo amequite life baada ya kuumbuliwa.Yani very sad,hakuna aibu mbaya kama ya kuhadhirishwa hadharani,kunavitu kama huamini vitakukuta vinaweza kukuua kwa msongo wa mawazo,nilijifunza kitu katika movie ya 3idiot pale mwanafunzi alipojinyonga kisa mwalimu kumuumbua kwa kile alichokitengeza,msibani kila mtu alikua anamshtmu mwalimu tujifunze,hawa viongozi kama makonda ni jeraha tu.
humo teacher anagubu aifai inafunza mno,maudhui yake makuu ni jinsi urafiki wa dhati unavyotakiwa uwe.Umenifanya nimeitafuta hiyo movie kamanda.......dah.....sipendagi movie za kihindi lkn hii imenigusa sana.......dogo amequite life baada ya kuumbuliwa.
MTANIWIA RADHI, NIPO NJE YA MADA KIDOGO:![]()
Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana, ila tangu awali inadaiwa alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
=====
UPDATE: Naithibitisha taarifa hii
serikali imehudhuria tena makonda alikuwepo!! hizo taarifa ulizocomment juzi ulizitoa wapi?? mkipelekwa mahakaman mnalalamika, kama huna uhakika na jambo kaa kimya!! nafurahi sana napoona wale wanaowekaga habari za uongo wakikamatwa na kupelekwa mahakamani, nafurahigi sanaaLeo hakuna kusifiwa maana wanandugu wamekataa serikali kuleta pua zao kwenye msiba! Najiuliza wana ndugu hivi ndugu yenu alionewa? Kweli chako ni chako hta mimi ningelifanya hivyo kusema kweli , nisingeliikaribisha serikali!
Mimi huwa nakuona/nakuweka katika watu reasonable humu JF kumbe bure. Kwani hukusikia yule Dr. wa familia aliyetoa taarifa na baadaye juzi wakaikanusha. But what came first was that the gov will not be entertained!serikali imehudhuria tena makonda alikuwepo!! hizo taarifa ulizocomment juzi ulizitoa wapi?? mkipelekwa mahakaman mnalalamika, kama huna uhakika na jambo kaa kimya!! nafurahi sana napoona wale wanaowekaga habari za uongo wakikamatwa na kupelekwa mahakamani, nafurahigi sanaa
Nyie mliomsababishia kifo ndio mliozidisha mzahaKuwa chadema sasa nimeamini ni kipimo cha IQ, hakuna mtu mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kwenda chadema, unawezaje kuleta mzaa kwenye kifo cha mtu?