TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
serikali imehudhuria tena makonda alikuwepo!! hizo taarifa ulizocomment juzi ulizitoa wapi?? mkipelekwa mahakaman mnalalamika, kama huna uhakika na jambo kaa kimya!! nafurahi sana napoona wale wanaowekaga habari za uongo wakikamatwa na kupelekwa mahakamani, nafurahigi sanaa
BASHITE ndiye aliyemuua mzee wa watu kwa mshtuko, sijui jiwe atapooondoka madarakani bashite atahamia wapi, labda kama kishapewa uraia huko RWANDA kwa mashemeji zake jiwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom