TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Sasa hivi ukitumbuliwa,anza kuandaa kaburi lako, budget ya maziko yako na unda kamati ya mazishi yako! Ufisadi ufanye wewe, kufa usumbue wengine.pumbavu
Kwani umeombwa mchango wa mazishi au umeambiwa ukachimbe kaburi kwenye msiba huu?
 
Kumbe huyu kabwe ni wale wa mpinji?? Jamaa wana hela ni kufuru tokea miaka hiyo tuko primary. sipati picha huo msafara wa kutoka mererani utakavyoingia mamba.
Ni kufuru.
Hai hai ni.
 
kumbe unawafahamu ee!! Watu wa mererani wanaenda msibani jumanne, hawa jamaa wana pesa za kufa mtu.. Tena huyu Kabwe hana kitu ukilinganisha na wadogo zake waliopo Arusha..
Kutoka mererani gari zimeshaanza kusomba watu anayetaka kwenda gari zipo kwenda na kurudi... Basi kumbe wewe ni wa home ee!!! Pole na msiba..
Utakuwa ulisoma bwambo wewe
 
Niliishi sambweni kwa Bibi mzaa maza. Shule Primary nilisomea kambeni. Najua hiyo jumanne mamba itachafuka kwa fujo za jamaa wa madini. jeuri ya hela
 
Mungu awafariji ninyi mliofurahia huzuni yake......

Unaomba Mungu aipumzishe roho ya mwizi? Waafrika MNA unafiki mpaka kwenye vidole!!!
Hata kama humpendi, yafaa uwe na subra ndugu. Epuka kukimbilia kutoa hukumu, yaache yachukue mkondo wake.
 
Niliishi sambweni kwa Bibi mzaa maza. Shule Primary nilisomea kambeni. Najua hiyo jumanne mamba itachafuka kwa fujo za jamaa wa madini. jeuri ya hela
Poa Dada yangu, mimi nilisoma ivuga na natokea kule kule juu kirungaya/mpinji
Kule mpaka sasa hivi kumeshachafuka manake sasa hivi wajukuu wa mzee mkenga kibao.. Nao wana mpunga wa maana... Si unajua vichaa wa mererani.. Ni Shida!!
 
Powa powa kaka. Poleni kwa msiba.
 
Kafa na nini nikiwaza kifo hua siitaji ata kumkalipia mtu

Aliemtumbua darajani wakati ikijulikana yu mgonjwa naye amechangia kuaccelarate kifo chake.Si angelisubirwa apone au apate nafuu halafu atumbuliwe?
 
Hata kama humpendi, yafaa uwe na subra ndugu. Epuka kukimbilia kutoa hukumu, yaache yachukue mkondo wake.
Mkuu mi nimemwambia huyo mwanakijiji aache unafiki... Walimwita Kabwe mwizi sasa Leo anamtaka alale pema peponi si unafiki huu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom