TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Kafa na nini nikiwaza kifo hua siitaji ata kumkalipia mtu
 
Duh, Habari mbaya sana hii, sijui kesho magazeti yanauza na habari ipi...maana zote kuntu;
SIP Brother, dunia mapito ....
 
maweeeeeee mbona kaondoka mapema hivyo hata hajajibu mashtaka ya ile mikataba aliyosaini??

R.I.P MR.kabwe mungu kakupenda zaidi
 
India alikuwa keshatoka tangu mwezi Dec 2015 na alikuwepo hapa Dar akiendelea na matibabu yk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom