Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Nimeshafanya edit ya post; nathibitisha taarifa hizi. Subiri redio labda ili ujiridhishe
haya maisha haya..mahoteli yake,,viwanja vyake , nyumba zake zote ameziacha dah,,,tutendeni mema hapa duniani mali, pesa, zote tutaziacha..R.I.P
Hata usipokuwa navyo kudanja palepale heri yake alikuwa navyo.Inalillahi wainailaihi rajiun.haya maisha haya..mahoteli yake,,viwanja vyake , nyumba zake zote ameziacha dah,,,tutendeni mema hapa duniani mali, pesa, zote tutaziacha..R.I.P
Nakuaminia kakaNimeshafanya edit ya post; nathibitisha taarifa hizi. Subiri redio labda ili ujiridhishe