Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Hawawezi kukuelewa.. Rage apewe pgd ya heshima kwa kweliHusizani rahisi kama ndio hata Madrid wangefanya uhuni huo kwa Ronaldo na wasingeshindwa.
Wakati unapoingia mkataba zinazo husika pande mbili na wakati wa kuuvunjwa unavunjwa na pande mbili, sio kwa sababu unahela unavunja.Kuna sheria zina mlinda mchezaji na club inayo msajili.
Kwani lazima kukaa na Yanga? Kwenye mkataba kuna kipengele kimesema lazima wakae chini?Du hata picha huoni.
Feisal anao mkataba hai hadi May 2024. Hivyo sio free agent ni mali ya Yanga.
Pili Feisal au Yanga wanayo haki ya kuvunja mkataba. Na utaratibu wa kuvunja ni lazima mdaliane na kufikia muafaka wa kuvunja.
Tatu, timu yeyote inaweza kumnunua mchazaji yeyote ikiwa timu hiyo itafikia makubaliano na timu inayommiliki mchezaji huyo. Kwa mchezaji ambaye mkataba wake umeisha(bado timu inawajibika kutoa taarifa ya nia ya kumchukua)
Mchezaji anayetaka kuvunja mkataba lazima wakubaliane pande zote mbili(fuatilia Ronaldo na Man United hivi karibuni). Klabu yake ikishatangaza wazi wamevunja mkataba na mchezaji baada ya mashauriano. Kama hakukua na timu iliyomuhitaji kabla ya kuvunja mkataba basi mchezaji atahesabika kuwa yupo huru. Lakini bado timu itakayomtaka italazimika kutoa taarifa kwa timu yake ya zamani.
Dogo Feisal anatamani kupata mshiko mkubwa ila uelewa mdogo wa maswala ya mkataba.
Azamu wanamtaka kwa hudi na uvumba na wamemchanganya kwa kutumia nguvu ya hela pasipo kufuata taratibu na sheria
Yanga bado wanamhitaji Feisal lakini pia wapo tayari kumuuza ila sio kwa 112.0m maana Feisal ni mtaji mkubwa.
Solution
Feisal akae na yanga wakubaliane kuvunja mkataba.
Azamu wakubaliane na Yanga kiasi wanachotaka kumnunua Feisal. Hapo transfer zitafanyikapasipo na kelele.
Kwani mkataba huo ambao yy anataka kuulipia alisainishwa na nani?Kwani lazima kukaa na Yanga? Kwenye mkataba kuna kipengele kimesema lazima wakae chini?
Kweli Mkuu. Tukumbuke Feisal kavunja contract na Yanga sio kwamba anaenda masomoni ulaya bali amevunja ili kwenda kucheza mpira timu nyingine.Mkuu kuna kitu unakisahau japokua umeandika maelezo mengi. Katika ile barua ya Yangu ilichapishwa imeeleza kuna sheria na taratibu za FIFA na TFF zimekiukwa.
Yes amevunja mkataba lakini kwa taratibu za FIFA ilipaswa timu inayomtaka hasa wakati wa dirisha ionane na timu inayommliki mchezaji wajadiliane kuvunja mkataba. Feisal amekidhi vigezo kuvunja mkataba na Yanga ila hajakidhi kulungana na taratibu za baba wa mpira wetu na ndicho anachozungumza huyo mwanasheria.
Tusikurupuke jamani tunaishia kujiaibisha kuandika vitu tusivyo na uelewa navyo
Hapo chacha!!!Mbona mnakitaja kipengele hiki tu ? Cha chini yake kinachomtaka kabla ya kufanya hili alitakiwa atoe notice ya miezi 6 mbona hamkitaji?
Zilizoingia mkataba ni pande mbili, Feisal na Yanga. Feisal ameununua mkataba kama vifungu vinavyoeleza. Wala hajasema anataka kwenda Azam au Simba! Yeye anataka kuwa huruFree Agent mwaka 1 mmoja na nusu? Mkataba unaingiwa na pande mbili na hata ukivinjwa lazima pande mbili zikae chini bila kusahau third party ambayo inataka kuvunja huo mkataba.
Ameununua mkataba kwa makubaliano na nani?Zilizoingia mkataba ni pande mbili, Feisal na Yanga. Feisal ameununua mkataba kama vifungu vinavyoeleza. Wala hajasema anataka kwenda Azam au Simba! Yeye anataka kuwa huru
ya mkatabaAmeununua mkataba kwa makubaliano na nani?
Ya mkataba upi?ya mkataba
Ya mkataba upi?
Huo mkataba saini za wahusika zipo wapi? Muhuri.......?
SawaHuo mkataba saini za wahusika zipo wapi? Muhuri.......?
So ukiziona saini hao walio saini ndio wanatakiwa wakae chini ,kama walivyo kaa chini wakati wakisaini huo mkataba.