Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sheria TFF amaliza utata: Asema Fei Toto amekosea, mkataba hauvunjwi kienyeji vile

Mkuu kuna kitu unakisahau japokua umeandika maelezo mengi. Katika ile barua ya Yangu ilichapishwa imeeleza kuna sheria na taratibu za FIFA na TFF zimekiukwa.

Yes amevunja mkataba lakini kwa taratibu za FIFA ilipaswa timu inayomtaka hasa wakati wa dirisha ionane na timu inayommliki mchezaji wajadiliane kuvunja mkataba. Feisal amekidhi vigezo kuvunja mkataba na Yanga ila hajakidhi kulungana na taratibu za baba wa mpira wetu na ndicho anachozungumza huyo mwanasheria.

Tusikurupuke jamani tunaishia kujiaibisha kuandika vitu tusivyo na uelewa navyo
 
Gongowazi wameza Ndoano kazi ipo kwenye kuitema..!
 
Kwahiyo unamini unaweza kusitisha mkataba kwa kuweka hela kwenye akaunti ya club na mambo yakaisha!!
Nimefwatilia hili jambo na kuja kugundua watu wengi wanakisema kipengele Cha kua anatakiwa a deposit signing fee na mishahara ya miezi mi 3
But kwa chini yake kuna sehemu pia inamtaka kabla hajafanya Hilo anatakiwa atoe notice ya miezi 6 na hapo ndo panapombana Fei .
 
Mbona mnakitaja kipengele hiki tu ? Cha chini yake kinachomtaka kabla ya kufanya hili alitakiwa atoe notice ya miezi 6 mbona hamkitaji?
 
Sehem ya mkataba inasema hv, Fei n mchezaj huru wala sio mali ya Yanga
 
Mkataba uko very clear
 
hahaha simba haina uwezo huo itoa m390+

simba hii imebaki na uwezo wa kusajili kina kapama na kibu d
 
Hakuna Sheria yeyote iliyo kiukwa, angekuwepo wangeweka
 
Wakae tu wayamalize maana Fei Toto ameshaonyesha kuwa hataki kubaki Yanga tena, ni suala la kuufuata huo utaratibu aende zake salama
 
Vilio vimetanda uko utopolo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

[emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…