Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukurupuka.Huyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili
Hicho kipengele kinasomwa peke yake?Huyu mkurugenzi wa sheria asiyejua sheria anashangaza, unasema vipi suala la mkataba ni la kukaa pamoja walimalize wakati kuna kipengele kwenye mkataba kilimruhusu mchezaji kuvunja mkataba kama akiweka kiasi fulani cha pesa kwenye akaunti ya klabu?
Wewe unataka kisomwe kwa pamoja na kipi kingine?Hicho kipengele kinasomwa peke yake?
Du hata picha huoni.Huyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili
Simba na Yanga wamezoea kufanya janja janja feitoto anawakumbusha kuwa mpira ni pesa sio kuwafurahisha viongozi ,acheni ujanja WA kuwadhulumu wachezaji
Makolo hata huyo Fei akiondoka, Yanga bado itabaki kuwa imara na tutawatandika tu tena safari hii.Wewe unataka kisomwe kwa pamoja na kipi kingine?
Lazima mtambue, mahitaji ya kimkataba kati ya mmoja na mwingine huwa tofauti, hayafanani, hivyo msikariri kwa kuchanganya mambo ya jumla kwenye sheria husika, wakati kuna issue specific ambazo zinajitegemea kutokana na makubaliano binafsi ya pande mbili husika zilizosaini mkataba.
Huyo kilaza kakurupuka na usimba wake.Du hata pichq huoni.
Feisal anao mkataba hai hadi May 2024. Hivyo sio free agent ni mali ya Yanga.
Pili Feisal au Yanga wanayo haki ya kuvunja mkataba. Na utaratibu wa kuvunja ni lazima mdaliane na kufikia muafaka wa kuvunja.
Tatu, timu yeyote inaweza kumnunua mchazaji yeyote ikiwa timu hiyo itafikia makubaliano na timu inayommiliki mchezaji huyo. Kwa mchezaji ambaye mkataba wake umeisha(bado timu inawajibika kutoa taarifa ya nia ya kumchukua)
Mchezaji anayetaka kuvunja mkataba lazima wakubaliane pande zote mbili(fuatilia Ronaldo na Man United hivi karibuni). Klabu yake ikishatangaza wazi wamevunja mkataba na mchezaji baada ya mashauriano. Kama hakukua na timu iliyomuhitaji kabla ya kuvunja mkataba basi mchezaji atahesabika kuwa yupo huru. Lakini bado timu itakayomtaka italazimika kutoa taarifa kwa timu yake ya zamani.
Dogo Feisal anatamani kupata mshiko mkubwa ila uelewa mdogo wa maswala ya mkataba.
Azamu wanamtaka kwa hudi na uvumba na wamemchanganya kwa kutumia nguvu ya hela pasipo kufuata taratibu na sheria
Yanga bado wanamhitaji Feisal lakini pia wapo tayari kumuuza ila sio kwa 112.0m maana Feisal ni mtaji mkubwa.
Solution
Feisal akae na yanga wakubaliane kuvunja mkataba.
Azamu wakubaliane na Yanga kiasi wanachotaka kumnunua Feisal. Hapo transfer zitafanyikapasipo na kelele.
Vipi tena, mbona umesha panic braza!Makolo hata huyo Fei akiondoka, Yanga bado itabaki kuwa imara na tutawatandika tu tena safari hii.
Una akili mbovu nani amedhulumiwa? Kama anaona mil 4 ni ndogo kwanini alikubali kusaini mkataba?Simba na Yanga wamezoea kufanya janja janja feitoto anawakumbusha kuwa mpira ni pesa sio kuwafurahisha viongozi ,acheni ujanja WA kuwadhulumu wachezaji
Huna hoja za msingi na kinachowauma ni Yanga kuendelea kuongoza ligi na ndio maana mnatetea ujinga kwa hoja nyepesi.Vipi tena, mbona umesha panic braza!
Hii ni issue ya kisheria, sio ligi ya Simba vs Yanga, na msiwachukie Simba kwa ushamba wenu kwenye mikataba mnayoingia na wachezaji wenu, kama vipi muwe mnakuja Simba SC kufundishwa namna bora ya kuweka vipengele ambavyo havitawaumiza.
Hivyo vipo kwenye mkataba au hisia zako??Du hata pichq huoni.