Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Duh we jamaa huna akiliHuyo amesema mazungumzo, lakini mazungumzo ni iwapo kuna klabu inammiliki mchezaji. Kwa sakata hili, hakukuwa na haja ya mazungumzo kwani hakuna klabu iliyokuwa inammiliki. Kwa ufupi, Feisal alikuwa free agent, na Azam ingezubaa hata Simba ingemsajili