Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

OOhhh! Hii ni sawa na kumrudisha magufuli tena, tutaomba Mungu yule yule afanye yake tena!
 
Usitamke Amani wakati wa vita,

Muda wake Bado.
 
Mama Samia unaenda Kua binadamu atakaechukiwa zaidi Tanzania na Wananchi kwa kumteua Makonda epuka huo mtihani Mama

Kama unamuonea huruma kama binadamu mpe kazi corridor za Ikulu
 
Karibia teuzi zake zote anazofanya no za ovyo. Itakuja kuwa hii
 
Uwezo wako ni mdogo sana kwenye kufikiria. Fisadi ni mtu katili kuliko unavyofikiria.
Sijui ni nani atakayekusaidia kuweza kuondoka katika ujinga uishio.

Kama karibu yako, kuna hata mtu aliyeishia darasa la saba, mwulize tu, hivi katika mahakama, ni adhabu gani kubwa kuliko zote ambayo mahakama inaweza kutoa, na hutoa kwa watu waliofanya ninj?


What is capital punishment

the legally authorized killing of someone as punishment for a crime.


A capital crime is a crime for which a person may be punished with the death penalty. In most countries, this designation is reserved for the most heinous of crimes, such as murder.
26 Nov 2022

Hizo definitions chache zitakupa urlewa wa ziada.
 
Nakataa kabisa. Shinyanga haiwezi kutawaliwa na Mkuu wa Mkoa Shoga. Ni Magufuli tu aliweza kumfanya Makonda awe RC ila kwa Shinyanga, Shoga hapana
 
Ngoja kwanza apigwe njaa akili zimrudie. Ukuu wa mkoa sio profesheni kwamba ni yeye tu aliyesome ukuu wa mkoa. Waacheni wengine nao wale. Yaani wakati mhuni mwenzake Sabaya anaozea jela yeye apewe ukuu wa mkoa kama nani?
 
Nakataa kabisa. Shinyanga haiwezi kutawaliwa na Mkuu wa Mkoa Shoga. Ni Magufuli tu aliweza kumfanya Makonda awe RC ila kwa Shinyanga, Shoga hapana
Ropoka tu ila ukitiwa kizuizini uwe na ushahidi na uwe na uhakika wa kutoka salama.


Huko mnataka wakuu wa mikoa wachawi au sio?! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si tuliambiwa atakuwa Waziri Mkuu, kumetokea mabadiliko mengine ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…