share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Siyo Chato, ni MOTONI Kwa Yusufeli bin Belzebili.huku kuna ma hitman Aka wachimba madini akija na sifa zake mtamkuta kwa baba yake chato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Chato, ni MOTONI Kwa Yusufeli bin Belzebili.huku kuna ma hitman Aka wachimba madini akija na sifa zake mtamkuta kwa baba yake chato
OOhhh! Hii ni sawa na kumrudisha magufuli tena, tutaomba Mungu yule yule afanye yake tena!Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Usitamke Amani wakati wa vita,Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Shoga ashughulikie shoga?Na akirudishwa awashughulikie kwanza Mashoga mpaka waishe!
Labda hauoni ule mtako wa Bashite.Shoga ashughulikie shoga?
Umemsahau na baloziKwa hii kasi ya lisu lazima na chenge atarudi ulingoni
Na bashiru atarudi nipo pale mje mniue
Karibia teuzi zake zote anazofanya no za ovyo. Itakuja kuwa hiiMama Samia hawezi asilani kufanya uteuzi wa kumdhalilisha Rais mwenyewe, Rais Samia sio mtu wa kufanya teuzi za ajabu hivyo na kamwe haiwezi tokea kwa Mama yetu, Mama Samia kajenga Imani na upendo mkubwa kwa wananchi tayari kwa muda mfupi sana, alafu alete mtu wa hovyo hovyo kama Makonda, hilo halipo na watanzania tunaona hilo halipo. Muda wa watu wa hovyo ushapita
Sijui ni nani atakayekusaidia kuweza kuondoka katika ujinga uishio.Uwezo wako ni mdogo sana kwenye kufikiria. Fisadi ni mtu katili kuliko unavyofikiria.
Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Ngoja kwanza apigwe njaa akili zimrudie. Ukuu wa mkoa sio profesheni kwamba ni yeye tu aliyesome ukuu wa mkoa. Waacheni wengine nao wale. Yaani wakati mhuni mwenzake Sabaya anaozea jela yeye apewe ukuu wa mkoa kama nani?Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Kwani kazi ya RC ni ku deal na wapinzani? Hivi nyie mambuzi akili zenu huwa mnaweka wapi?kijana siasa za upinzani anazimudu ccm wameona mbali
Ukisema kitu uwe na Evidence kiongozi kama alivosemaga Ze dudu kwamba ana ushahidi wa kutosha na yuko tayari kupandishwa kizimbani... je wewe uko na ushahidi na uko tayari kupanda kizimbani?!Shoga ashughulikie shoga?
Ropoka tu ila ukitiwa kizuizini uwe na ushahidi na uwe na uhakika wa kutoka salama.Nakataa kabisa. Shinyanga haiwezi kutawaliwa na Mkuu wa Mkoa Shoga. Ni Magufuli tu aliweza kumfanya Makonda awe RC ila kwa Shinyanga, Shoga hapana