Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Kinachofuata kwa Makonda ni jela tu, hiyo spinning yenu kuhusu huyu bwana ni ya kibwege sana.

Samia hawezi kuchafua Serikali yake kwa kuweka dubwasha linalonuka damu na lilio na miliki ya mali ya DHULUMA
 
Ikiwa kweli basi SHETANI litakuwa limeachiliwa kutoka kuzimu.
 
Wanataka kuanza kuteka watu tena.Ccm ni jini.KENYA Rais Ruto alisha maliza ushenzi huo.
 
Hata awe Rais haina shida. Maana mmebakia kuabudu watu na maendeleo hakuna
 
Tuendeshwe na hisia kwake kwa kigezo gani alichonacho? Wakati ule alikuwa gumzo kwa mabaya ndani na nje ya Tanzania wakati ni RC tuu utadhani waziri mkuu. We ulikuwa umezima kwa muda? Ulikuwa huoni.
 
Hakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.

Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.
Kwa Makonda mmmmh hapana anatuhuma nyingi mno hafai tena kuwa kiongozi
 
[emoji23] hahahh umenikumbusha mbalieee!! Mambo ya Bambataa.. Nilimuonaga live si mchezo.. [emoji28]
 
Never will happen again
 
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
 
Maakonda ana wachawi wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…