Umesahau zile picha zake akiwa na Mama huku Mama kala kungu!?Natembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau zile picha zake akiwa na Mama huku Mama kala kungu!?Natembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Umesahau zile picha zake akiwa na Mama huku Mama kala kungu!?Natembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Kinachofuata kwa Makonda ni jela tu, hiyo spinning yenu kuhusu huyu bwana ni ya kibwege sana.Hii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Ikiwa kweli basi SHETANI litakuwa limeachiliwa kutoka kuzimu.Hii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Wawaze ujinga wangu wasiwaze ila wakati utaamua ujinga wangu na ujinga wako upi una maana.Akili yako unafikiri kila mtu anawaza ujinga wako!
Tuendeshwe na hisia kwake kwa kigezo gani alichonacho? Wakati ule alikuwa gumzo kwa mabaya ndani na nje ya Tanzania wakati ni RC tuu utadhani waziri mkuu. We ulikuwa umezima kwa muda? Ulikuwa huoni.tatizo Tanzania hii watu wenye akili timamu wanaendeshwa na hisia umememuona nani aliyeuwawa na makonda? mahakama ipi iliyothibitisha makonda kauwa? , kiufupi tafuta hela makasiriko uliyonayo kwa watu usiowajua ni kwasababu haupo busy kutafuta Hela , kiufupi usijifunge na kamba usiyoijua .
Kwa Makonda mmmmh hapana anatuhuma nyingi mno hafai tena kuwa kiongoziHakika hizi ni habari njema haswa kama huyo Bwana amekuwa nje ya ajira kwa kipindi chote hicho bila shaka hizi ni habari za matumaini kwake na familia.
Basi na akawe mchapa kazi ili anayempa ajira aone kuwa hajakosea.
[emoji23] hahahh umenikumbusha mbalieee!! Mambo ya Bambataa.. Nilimuonaga live si mchezo.. [emoji28]Wewe acha uchawa!
Mama anataka mikopo, hivyo lazima akuze demokrasia na utawala wa Sheria.
Sasa huyo Makonda wako anadhani Mama ameshasahau tamko la Mike Pompeo la kunyima watu wengine haki za kuishi ( yaani Muuaji)?!
Atasubiri sana! Hivi bado ana ile Chura yake!?
Never will happen againHii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.Kina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Forget about BashiruKwa hii kasi ya lisu lazima na chenge atarudi ulingoni
Na bashiru atarudi nipo pale mje mniue
Maakonda ana wachawi wengiHii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Tupo naye hapa anaisoma hii postKatika makosa mama asije kufanya ni kama hili. Itampunguzia sana credibility. Nchi hii haina uhaba wa viongozi hadi alazimike 'kuishi' na wenye makandokando lukuki!
Natembea uchi mpaka msamvu,faili lake ikulu limepigwa muhuri mwekundu
Hawezi kamwe kufanya kosa kubwa kama hiliSamia atachukiwa sn sn na watanzania