Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

mikutano ya chadema au ya upinzani itakuwa inafuatiliwa sana na wana ccm kuliko hata wanachadema/wanaupinzani wenyewe. Ubaya zaidi ni kwamba ndani ya ccm hakuna anayeweza kujibu hoja nyingi sana....yaani ccm wengi ni watu wa mihemko..hawawezi jibu hoja kwa ufanisi. nawasihi ccm wawe wana note hoja za msingi alafu wanateua siku moja kwa mwezi kwa ajili ya kutolea ufafanuzi wa mambo muhimu tu na si kuwajibu upinzani/chadema. CCM ipo maji ya shingo kwasasa
 
Kuna mtu Ana ushahidi wa haya unayoyasema..no research no right to speak...maichukulie poa Uhuru wa habari bila kuwa na ushahidi wowote..mwacheni kijana wa watu amwagilie moyo inavyowezekana
 
Mnasahau kwamba anaye mteua anataka yeye amsaidie kazi na anakuwa anajua anaweza..haji kukufanyia kazi wewe.msiingilie kazi za wenzenu
 
siwezi kushangaa, kwasababu hakuna lisilowezekana. hata sabaya akitoka anaweza kupata cheo.
 
Hizo ni ndoto. Haiwezi kutokea. Mh. Rais hawezi kukosa hekima kiasi hicho! Akifanya hivyo atakuwa ameua maridhiano.

Yaani amteue mtu ambaye alisimamia mpango wa kutaka kutekeleza mauaji ya kiongozi wa ngazi ya juu wa chama anachofanya nacho maridhiano!! Hilo sahau kabisa. Kwenye maridhiano, CHADEMA wanacho-demand ni huyo bwana na wenzake kufikishwa mahakamani kama ilivyo kwa Sabaya.
 
Kwakuwa aliwadhibiti nyiee wauza Yale madude na mashogaa, ndio maaana humtakiii. Makonda nihazina KUBWA Kwa maendeleo ya mkoa wa dar na Taifa Kwa ujumla
 
Kwani sabaya Yuko wapioi
 
mkuu utamchukia wewe mbona mimi ni mtanzania sitomchukia, achukiwe kwa lipi! kama makonda humpendi siyo wote ambao hawampendi labda huko chadema.
Nina imani wauaji wote na wenye roho ya shetani, bila shaka watakuwa wanampenda muuaji mwenzao.

Kwa vyovyote huyo bwana kwenye kutekeleza mauaji ya binadamu wenzake hakuwa pekee yake. Hatujui, pengine wewe ulikuwa msaidizi wake katika ushetani wake, lazima utampenda.
 
Kinachofuata kwa Makonda ni jela tu, hiyo spinning yenu kuhusu huyu bwana ni ya kibwege sana.

Samia hawezi kuchafua Serikali yake kwa kuweka dubwasha linalonuka damu na lilio na miliki ya mali ya DHULUMA
SSH hana file wala hajawahi kulazwa Mirembe achilia mbali kutembelea sehemu hiyo kiofisi
 
Makonda ni adui wa wauza unga na mashoga tu lakini watz wengine wote wanampenda sana tu.
 
Wauza unga na mashoga tu ndio maadui wa Makonda lakini Watz wengine wote wanampenda sana mchapakazi Makonda.
 
Mimi naomba apewe tena dar maana nguvu kazi ya vijana imeanza kuteketea na ushoga pia na madawa ya kulevya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…