Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kama Samia anataka watu wamdharau basi amsafishe Bashite madharau!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu Ana ushahidi wa haya unayoyasema..no research no right to speak...maichukulie poa Uhuru wa habari bila kuwa na ushahidi wowote..mwacheni kijana wa watu amwagilie moyo inavyowezekanaKina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Anzia na upinzani kwanza..usiruke maji ukaenda kanyaga motoHuko ccm nani asiye na makandokando lukuki?
Mnasahau kwamba anaye mteua anataka yeye amsaidie kazi na anakuwa anajua anaweza..haji kukufanyia kazi wewe.msiingilie kazi za wenzenuMama Samia hawezi asilani kufanya uteuzi wa kumdhalilisha Rais mwenyewe, Rais Samia sio mtu wa kufanya teuzi za ajabu hivyo na kamwe haiwezi tokea kwa Mama yetu, Mama Samia kajenga Imani na upendo mkubwa kwa wananchi tayari kwa muda mfupi sana, alafu alete mtu wa hovyo hovyo kama Makonda, hilo halipo na watanzania tunaona hilo halipo. Muda wa watu wa hovyo ushapita
siwezi kushangaa, kwasababu hakuna lisilowezekana. hata sabaya akitoka anaweza kupata cheo.Hii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Kwa vipi shusha ushahidi hapaTunajua mama anampenda Bashite, lakini Bashite keshapoteza sifa za uongozi
Anazimudu Siasa za upinzani za kuua wapinzani sio? Sawa ngoja tusubiri..........kijana siasa za upinzani anazimudu ccm wameona mbali
Kwakuwa aliwadhibiti nyiee wauza Yale madude na mashogaa, ndio maaana humtakiii. Makonda nihazina KUBWA Kwa maendeleo ya mkoa wa dar na Taifa Kwa ujumlaLandmines katika Siasa zake ni nyingi kuliko za Angola na Ukraine, atakayejaribu kutembea katika terrain ya Makonda, ajihesabu amekwisha.
Aliyetoa amri Lissu auwawe hayupo, ila aliyetekeleza yupo, na anasemwasemwa.
Ukijiunga naye, unakuwa umeunga mkono yaliyofanyika, na hata majadiliano ya CDM na CCM Yana haki ya kufa kuanzia tarehe ya uteuzi
Hata dhambi ni hazina, kwani Akiwa hazina lazima hiyo hazina ije katika Utumishi wa umma, apeleke kwenye ukoo wakeKwakuwa aliwadhibiti nyiee wauza Yale madude na mashogaa, ndio maaana humtakiii. Makonda nihazina KUBWA Kwa maendeleo ya mkoa wa dar na Taifa Kwa ujumla
Kwani sabaya Yuko wapioiHizo ni ndoto. Haiwezi kutokea. Mh. Rais hawezi kukosa hekima kiasi hicho! Akifanya hivyo atakuwa ameua maridhiano.
Yaani amteue mtu ambaye alisimamia mpango wa kutaka kutekeleza mauaji ya kiongozi wa ngazi ya juu wa chama anachofanya nacho maridhiano!! Hilo sahau kabisa. Kwenye maridhiano, CHADEMA wanacho-demand ni huyo bwana na wenzake kufikishwa mahakamani kama ilivyo kwa Sabaya.
Nina imani wauaji wote na wenye roho ya shetani, bila shaka watakuwa wanampenda muuaji mwenzao.mkuu utamchukia wewe mbona mimi ni mtanzania sitomchukia, achukiwe kwa lipi! kama makonda humpendi siyo wote ambao hawampendi labda huko chadema.
SSH hana file wala hajawahi kulazwa Mirembe achilia mbali kutembelea sehemu hiyo kiofisiKinachofuata kwa Makonda ni jela tu, hiyo spinning yenu kuhusu huyu bwana ni ya kibwege sana.
Samia hawezi kuchafua Serikali yake kwa kuweka dubwasha linalonuka damu na lilio na miliki ya mali ya DHULUMA
Makonda ni adui wa wauza unga na mashoga tu lakini watz wengine wote wanampenda sana tu.Ikiwa ni kweli basi huyu mama atakuwa na maadui wenye akili mno. Kumpandikizia moja ya virusi hatari kuwahi kutokea Tz.
Makonda ni mithili ya kutu kwenye chuma, ikianza haibakishi chochote.
Kumrudisha Makonda kutaondoa uhalali wa Sabaya kuwekwa ndani mpaka sasa na kutaondoa kila punje ya uzuri mama anayojaribu kuufanya.
Wauza unga na mashoga tu ndio maadui wa Makonda lakini Watz wengine wote wanampenda sana mchapakazi Makonda.Nina imani wauaji wote na wenye roho ya shetani, bila shaka watakuwa wanampenda muuaji mwenzao.
Kwa vyovyote huyo bwana kwenye kutekeleza mauaji ya binadamu wenzake hakuwa pekee yake. Hatujui, pengine wewe ulikuwa msaidizi wake katika ushetani wake, lazima utampenda.
Labda hao wauza madawa ya kulevya!!Kama Samia anataka watu wamdharau basi amsafishe Bashite madharau!