To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Chann kwanza,kupata tu vidonda vya tumboMimi sina chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chann kwanza,kupata tu vidonda vya tumboMimi sina chama
Hakunaga chama Tanzania ni magenge ya walanguzi tu.Chann kwanza,kupata tu vidonda vya tumbo
Wa kwanza mimiSamia atachukiwa sn sn na watanzania
Nakwambia akifanya ivyo amejimaliza. Ni nani hakuathiriwa na jeuri ya huyo dogo? Watu wanategemea ashitakiwe then awe RC?Mama Samia hawezi asilani kufanya uteuzi wa kumdhalilisha Rais mwenyewe, Rais Samia sio mtu wa kufanya teuzi za ajabu hivyo na kamwe haiwezi tokea kwa Mama yetu, Mama Samia kajenga Imani na upendo mkubwa kwa wananchi tayari kwa muda mfupi sana, alafu alete mtu wa hovyo hovyo kama Makonda, hilo halipo na watanzania tunaona hilo halipo. Muda wa watu wa hovyo ushapita
Wana moto gani? Ni upuuzi mtupu. Wananchi wametoka kwenye dhiki waje wakahangaike na vurugu za za upinzani?.Acha wivu wewe kama unamchukia kwa chuki binafsi ni wewe
Makonda ndie mtu pekee anayeweza kuhimili moto wawapinzani wanaokwenda kuuwasha
KWA CCM inawezekana hata STEVE NYERERE anaweza pia akawa Mkuu wa MkoaHii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Akili yako unafikiri kila mtu anawaza ujinga wako!Nakwambia akifanya ivyo amejimaliza. Ni nani hakuathiriwa na jeuri ya huyo dogo? Watu wanategemea ashitakiwe then awe RC?
21 sio mbali mkuu ...hautaamini na macho Yako .... Ni wajinga na wapumbavu wachache wenye mawazo kama yakoWana moto gani? Ni upuuzi mtupu. Wananchi wametoka kwenye dhiki waje wakahangaike na vurugu za za upinzani?.
Je unajua kwanini hata tozo na gharama kupanda sababu ya kuyumba uchumi wa dunia na hali ya hewa na corona wananchi hawakureact? Ni sababu tulitoka kwenye dhiki kuu ya miaka 6. Hakuna mtu ana hamu na wapinzani wasio na nia ya dhati na wanayosema.
Makonda yupo chini ya uchunguzi. Kwanza alimteka Mo, aliua na kujeruhi vipi awe kwenye cheo? Subiri kidogo utamuona pale Kisutu na makesi kibao. Tena yakiongozwa na JamhuriHii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.
Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
tatizo Tanzania hii watu wenye akili timamu wanaendeshwa na hisia umememuona nani aliyeuwawa na makonda? mahakama ipi iliyothibitisha makonda kauwa? , kiufupi tafuta hela makasiriko uliyonayo kwa watu usiowajua ni kwasababu haupo busy kutafuta Hela , kiufupi usijifunge na kamba usiyoijua .Kina Cha maji hakipimwi kwa kuingiza miguu, tutavuka mto tukiufikia, kwa Sasa hatutoi panga zetu kwenye ala.
Itakuwa blunder kubwa sana ambayo itaandamana na political risks, na sioni wa kubeba hilo zigo la misumari, walau kwa wakati huu.
Ni huyu mtu ambaye anatajwa kuwa Dodoma wakati Lissu akinyeshewa mvua ya risasi. Na ni mtu huyu, tangu nchi hii iumbwe, Yuko blacklisted asikanyage U.S.A kwa kudhulumu haki ya kuishi. Kudhulumu haki ya kuishi ni kwamba kwa mkono wake au Kwa maelekezo yake, aliuwa watanzania wenzetu iwe kwa mapanga, kwa risasi, au kuwanyonga, inawezekana walimlilia sana awaache au awasamehe, lakini akahakikisha wanakufa kifo Cha kikatili, bila fursa ya kuaga wapendwa wao, Wala kujulikana walipozikwa.
Ameshaonja damu ya binadamu, bila shaka atakuwa na kiu ya damu nyingine, ni ya nani Kati ya wa Tizee milioni 61?
Yaani nikwambie tu Makonda ni asset tena ya uhakika! Na anakuzidi wewe na ukoo wako kwa hela na maisha bora!Makonda yupo chini ya uchunguzi. Kwanza alimteka Mo, aliua na kujeruhi vipi awe kwenye cheo? Subiri kidogo utamuona pale Kisutu na makesi kibao. Tena yakiongozwa na Jamhuri
Bila shaka wewe ni moja ya wale mabodigadi wake mlilokuwa mnapepea Makonda na Lemutuz ili wasipate joto.tatizo Tanzania hii watu wenye akili timamu wanaendeshwa na hisia umememuona nani aliyeuwawa na makonda? mahakama ipi iliyothibitisha makonda kauwa? , kiufupi tafuta hela makasiriko uliyonayo kwa watu usiowajua ni kwasababu haupo busy kutafuta Hela , kiufupi usijifunge na kamba usiyoijua .
Labda Magufuri afufuke ndio ndoto hii itimie.kijana siasa za upinzani anazimudu ccm wameona mbali
Haya msubirie pale Kisutu uone hiyo asset. Ninachojua Makonda ni muhalifu!Yaani nikwambie tu Makonda ni asset tena ya uhakika! Na anakuzidi wewe na ukoo wako kwa hela na maisha bora!