Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Tetesi: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Serikali ya Awamu ya Tano Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga

Makonda kadhulumu watu wengi, kabambikia watu makesi na Ana roho mbaya na kiburi
 
..nahisi Diwani Athumani,au Richard Kasesela, atateuliwa RC Shinyanga.

Shinyanga anaenda Masele, kama Mimi ni Masele ningekataa teuzi ndogo za kishamba alishafika level za kimataifa

Hata Diwani wanamshusha wampeleke kasesela hawa wengine ni akili kubwa
 
Hii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.

Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Wewe ndiye makonda au amekutuma. Kwani watu wenye akili na sifa wamekwisha?
 
Hii ni habar mpya kabisa kijana mchapakazi paul makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kunamaridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejuwa jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.

Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Mama syo wa kufanya majaribio, hawez na hataweza asilani kuwateua wauaji kwenye serikali yake
 
Kwann wampeleke limkoa la vijijini huko? , nchi itachangamkaje wampe Jiji kubwa ama wamrudishe DAR [emoji23].

Anyway Chadema wanamuogopa sana huyo jamaa sjui kwann[emoji23], kma ingekuwa keshapewa tyr hata cheo cha ukuu wa wilaya i swear Chiba angehairisha kurudi Bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani kama Mama atakubali ushauri kama huu chuki za huyu mtu zote zitamuangukia,bora akae nae mbali.

Huku Mtaani upepo dhidi yake ni mbaya sana anachukiwa mno,humu kuna watu wake aliokuwa anawalipa kumtetea naona bado wako masalia wanamtetea ila Field hali bado ni mbaya sana.

Akae nae mbali kabisa hafaihafai ana makandokando mengi mno ataamsha hasira zote zilizolala.
Rais hajali upuuzi wenu! MSIJIDANGANYE 😃

Anaweza kumteua yeyote amtakae mwenye vigezo anavyovitaka yeye na Cabinet yake... ni swala la muda. Mbona mtoto mdogo wa miaka chini ya 18 kalamba teuzi juzi?! Chuki hizo dhidi ya makonda mnazo nyie sio Rais. ni swala la muda, riziki na maamuzi yake tu. Kama wanaongea kwenye simu, barua pepe au wanatumiana ujumbe (SMS) nyie mnajua?!

Tufike mahali tuache kujazana ujinga. Makonda hakufanya hayo! Kama alifanya pelekeni ushahidi uliokamilika mahali husika na uwe tayari kukutana na lolote mambo yakiwashinda na kuwageuka.
 
Ikiwa ni kweli basi huyu mama atakuwa na maadui wenye akili mno. Kumpandikizia moja ya virusi hatari kuwahi kutokea Tz.

Makonda ni mithili ya kutu kwenye chuma, ikianza haibakishi chochote.

Kumrudisha Makonda kutaondoa uhalali wa Sabaya kuwekwa ndani mpaka sasa na kutaondoa kila punje ya uzuri mama anayojaribu kuufanya.
Hawezi kumrudisha bhana, huu ni ushubwada tu
 
Rais hajali upuuzi wenu! MSIJIDANGANYE [emoji2]

Anaweza kumteua yeyote amtakae mwenye vigezo anavyovitaka yeye na Cabinet yake... ni swala la muda. Mbona mtoto mdogo wa miaka chini ya 18 kalamba teuzi juzi?! Chuki hizo dhidi ya makonda mnazo nyie sio Rais. ni swala la muda, riziki na maamuzi yake tu. Kama wanaongea kwenye simu, barua pepe au wanatumiana ujumbe (SMS) nyie mnajua?!

Tufike mahali tuache kujazana ujinga. Makonda hakufanya hayo! Kama alifanya pelekeni ushahidi uliokamilika mahali husika na uwe tayari kukutana na lolote mambo yakiwashinda na kuwageuka.

Wewe futa hizo ndoto mnajazana ujinga never never juzi kwenda hotel Arusha anadanganya yupo kikosi maalum cha Rais andaiwa hotel sh milioni 4 bado anazidi kuttapeli
 
Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.

Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Acha kumharibia mwenzako. Sasa wewe ukishatangaza huku kuwa atakuwa Mkuu wa Mkoa kabla ya Mamlaka ya Uteuzi haijamtangaza huoni kama unaweza kumharibia? Maana hii ni sawa na umeipangia uteuzi Mamlaka ya Uteuzi.
 
Wakati akiwa DC Kinondoni jamaa alikuwa yuko vizuri sana. Alipiga kazi hatari. Hakuwa na tatizo. Ushenzi aliuanza akiwa RC. Mwendazake alimharibu huyu kijana. Namshauri ahamie CHADEMA hata kwa mwaka mmoja ili wamsafishe kabla ya 2025 arudi CCM. Kama walimsafisha Lowassa basi kwa Makonda itakuwa kazi ndogo sana.
 
Hii ni habari mpya kabisa kijana mchapakazi Paul Makonda kwa taarifa zilizopo huenda akawa RC mkoa wa Shinyanga, nadhani kijana huyu huenda anateuliwa kwa kuwa kuna maridhiano ya siasa na siasa za upinzani anazimudu ni kiongozi anayejua jinsi ya kucheza mpira na wapinzani.

Kama ni kweli namtakia kila la heri katika utumishi wake.
Kwa CCM uchafu wowote inawezekana, tangu lini RC akawa ni Cheo cha Kudhibiti Wapinzani?
 
Sasa hivi anafungua famasi Morogoro, pale CINE CINEMA ilipokuwa CRDB, anaendelea kutakatisha
tafuta Mali wajukuu wapende kuishi Kwa Babu ukizeeka ,kuendelea kufuatilia ya watu yatakuangukia unapataje muda kujus makonda kafungua hiki na kile.
 
Bila shaka wewe ni moja ya wale mabodigadi wake mlilokuwa mnapepea Makonda na Lemutuz ili wasipate joto.

Kibarua kimekufa hicho, na hakitarudi
Tafuta Hela angalia hata mida tuna post tuko busy mkuu holiday na vacation zimeisha sisi sio waandishi wa habari kukaa kwenye keyboard , narudia kufuatilia yasiyokuhusu ni kujitengenezea uzee utakaokuwa mzigo kwa watoto wako na wajukuu , pambana tafuta Hela.
 
Back
Top Bottom