Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu .

Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe katika kazi aliyokuwa anafanya awali kabla ya kuteuliwa kuwa DC

Baada ya kusikiliza ombi la Komanya Erick Kitwala, jaji wa mahakama kuu mheshimiwa Lilian Mongela ameona muombaji ana hoja za kuridhisha kusikilizwa.
---

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JUDICIARY

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA (MAIN REGISTRY)
AT DAR ES SALAAM

MISCELLANEOUS CAUSE NO. 03 OF 2023 IN THE MATTER OF AN APPLICATION FOR LEAVE TO APPLY FOR THE PREROGATIVE
ORDERS OF CERTIORARI AND MANDAMUS AND
IN THE MATTER OF THE LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS MISCELLANEOUS
PROVISIONS) ACT, CAP 310 R.E. 2019; THE PUBLIC SERVICE ACT, CAP 298 R.E. 2019,
AND THE PUBLIC SERVICE REGULATIONS OF 2003
AND
IN THE MATTER OF AN APPLICATION TO CHALLENGE THE DECISION OF THE
PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TO UNPROCEDURALLY
MAKE/FORCE THE APPLICANT TO RETIRE FROM PUBLIC SERVICE, DATED 15™ AUGUST 2022
BETWEEN

KOMANYA ERICK KITWALA ........................................................................... APPLICANT

VS

THE PERMANENT SECRETARY, PUBLIC SERVICE
MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE.................................. 1st RESPONDENT

THE ATTORNEY GENERAL.................................................................... 2nd

RESPONDENT
BOARD OF TRUSTEES OF THE PUBLIC
SERVICE SOCIAL SECURITY FUND....................................................... 3RD RESPONDENT
RULING
Dale of Hearing: 11 /05/2023
Date of Ruling : 23/05/2023

Considering the issues advanced by the applicant as establishing prima-facie case, particularly, on denial of the right to be heard, I find theapplication being proper, meritorious and adhered to the legal requirements for the grant of leave to apply for judicial review. I accordingly, grant the leave. The applicant shall file the main application for judicialreview within 14 days from the date of this Ruling. Costs to follow events.
Dated at Dar es Salaam this 23rd day of May 2023.
L. MONGELLA
JUDGE

SOMA HUKUMU YOTE :
Source : Komanya Erick Kitwala vs The Permanent Secretary, Public Service Management & Good Governance & 2 Others [2023] TZHC 17356 (23 May 2023)

Picha toka Maktaba
View attachment 2644108
Bw. Komanya Eric Kitwala

Komanya na jambo lake😂
 
Hii kesi inaendeleaje?

Make kwa sasa watu wanapiga huku na kule
 
Mm naona kesi kama hizi huwa zinasababisha ugumu kwenye kesi nyingine za msingi na muhimu kwa Taifa.
 
Naona Rais anapunguziwa kazi ambazo kwa uhakika anategemea ushauri wa wasaidizi wake ambao muda mwingine wanamshauri vibaya
 
Huyu Jamaa hajakataa kutenguliwa u-DC bali anataka arudi kwa mwajiri wake wa zamani PSSSF baada ya kutenguliwa u-DC. Hii ni haki yake hata kama HAMUMPENDI, haina kupepesa macho

Ilibidi kwanza arejeshwe kwenye kazi yake ya PSSSF, then ndipo "kumstaafisha kwa manufaa ya umma" kufuate.

Hayo "manufaa ya umma", yanahusiana na nafasi ya u-DC ambayo aliteuliwa na Rais na siyo kazi yake ya awali ya PSSSF.

Pengine kama Rais asingemteua kuwa DC asinge commit hiyo offence inayoathiri "manufaa ya umma".

Mamlaka ya Rais yana mpaka kwa wateule wake, hayako kama "blank cheque".

Na hii haitakuwa kesi ya kwanza kwa Mahakama kuwarudisha wafanyakazi waliotenguliwa na Rais. Kumbukeni wale Maafisa 5 wa Polisi (Man, Lymo, Walele et al) waliotenguliwa na B W Mkapa mwaka 1996.
Dar es Salaam. Mahakama Kuu imetengua uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumstaafisha kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.

Pia, imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Kitwala katika ajira yake.

Uamuzi huo umetolewa jana Alhamisi, Februari 8, 2024 na Jaji Elizabeth Mkwizu kutokana na shauri la mapitio ya Mahakama, alilofungua Kitwala katika Mahakama Kuu Masjala Kuu Dar es Salaam, akipinga uamuzi wa Rais kumstaafisha utumishi wa umma.

Kitwala akiwakilishwa na Wakili Jeremiah Mtobesya, alifungua shauri hilo dhidi ya Katibu Mkuu, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Bodi ya Wadhamini PSSSF, baada ya kuomba na kuruhusiwa na Mahakama.

Rais Samia alimstaafisha Kitwala, aliyemwandikia barua Katibu Mkuu Utumishi arejeshwe katika ajira yake, baada ya kutenguliwa uteuzi wake wa ukuu wa wilaya.

Mahakama imekubaliana na wakili Mtobesya ikisema uamuzi wa Rais si sahihi kwa kuwa, hauelezi sababu kwa nini alistaafishwa kwa masilahi ya umma.

Jaji Mkwizu amesema suala la masilahi ya umma ni pana, hivyo mtu hawezi kustaafishwa utumishi wa umma kwa maelezo tu kuwa ni kwa masilahi ya umma, bali sababu hizo zinapaswa kubainishwa wazi.

“Kwa hiyo, kwa kutokuelezwa sababu za uamuzi huo kunakiuka matakwa ya maamuzi ya kiutawala,” amesema Jaji Mkwizu baada ya kurejea kesi mbalimbali zilizoamuriwa na Mahakama ya Tanzania kwenye masuala yanayofanana na uamuzi uliokuwa unapingwa na Kitwala.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Kitwala amesema hana cha zaidi cha kuongea kwa kuwa huo ni uamuzi wa Mahakama ambao baada ya kusikiliza hoja zake, imejiridhisha kuwa kuna sababu za msingi na ndiyo maana imefikia uamuzi huo.

“Kwa hiyo, Mahakama imeamua kwa kadri ya maombi yaliyopelekwa mahakamani na arguments (hoja) zilizokuwa raised (zilizoibuliwa) mahakamani na mawakili,” amesema Kitwala.

Wakili wa Serikali, Edwin Webiro aliyekuwapo mahakamani kwa upande wa wadaiwa, wakati uamuzi huo uliposomwa hakuzungumza lolote kuhusu uamuzi huo, akiomba apate muda wa kuangalia amri zilizotolewa na Mahakama.

Chanzo cha kesi

Kitwala aliyekuwa mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kuhakiki Mali za Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoundwa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk John Magufuli, aliteuliwa Julai 27, 2018 kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora.

Kwa mujibu wa kiapo kilichounga mkono hati yake ya maombi katika shauri hilo, kabla ya uteuzi alikuwa akifanya kazi PSSSF, akiwa Ofisa Sheria.

Juni 19, 2021 Rais Samia alitengua uteuzi wake na nafasi ilijazwa na Dk Yahya Nawanda.

Kutokana na hilo, Kitwala alimwandikia barua Katibu Mkuu Utumishi, akiomba amrejeshe katika ajira yake ya awali.

Barua hiyo haikujibiwa mapema, lakini baadaye alipokea barua ya Katibu Mkuu Kiongozi ya Agosti 15, 2022, iliyomfahamisha kuwa Rais amemstaafisha kwa masilahi ya umma.

Hakukubaliana na uamuzi wa Rais, hivyo alifungua maombi dhidi ya Katibu Mkuu Utumishi, AG na Bodi ya Wadhamini PSSSF, akiomba kibali cha kufungua shauri la maombi ya mapitio ya Mahakama ili kupinga uamuzi wa Rais.

Wajibu maombi waliwasilisha pingamizi la awali, wakiiomba Mahakama itupilie mbali maombi yake bila kuyasikiliza kwa madai yalikuwa na kasoro za kisheria, huku wakiwasilisha hoja mbili.

Mahakama ilitupilia mbali pingamizi hilo na katika uamuzi uliotolewa na Jaji Lilian Mongella Mei 23, 2023 aliridhia maombi ya Kitwala na kumruhusu kufungua shauri kupinga uamuzi wa Rais.

Katika shauri la mapitio, Kitwala aliiomba Mahakama iitishe, kutengua na kutupilia mbali uamuzi wa Rais akidai amekwenda nje ya mamlaka yake kisheria dhidi ya kanuni ya haki asili na ni usumbufu kwake.

Pia, aliiomba Mahakama imuamuru Katibu Mkuu, Utumishi amrejeshe katika ajira yake ya awali kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, kulipwa madeni ya mishahara na mafao mengine kuanzia Juni 28, 2021 mpaka tarehe ya kurejeshwa katika ajira.

Vilevile aliiomba Mahakama iiamuru Bodi ya Wadhamini wa PSSSF kumrejesha katika nafasi yake ya awali.
 
Sasa hii kampeni ya katibu muenezi kutembelea mikoa 20 na kusema watatenguliwa au kufukuzwa kazi maDED, maDC n.k mteule wao ambaye ni atafanikiwa kuwafukuza ?
 
Mav8 yatawatoa roho kudadeki, na saivi tupo kwenye STN 😂😂, twende mbele turudi nyuma mheshimiwa Rais SSH kasi yako ya ununuaji magari imenifurahisha.
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Tabora mjini Bw. Komanya Erick Kitwala apinga uamuzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumstaafisha bila kumpa sababu .

Kesi aliyofungua Komanya Erick Kitwala ilisikilizwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo pia Komanya Erick Kitwala anataka arudishwe katika kazi aliyokuwa anafanya awali kabla ya kuteuliwa kuwa DC

Baada ya kusikiliza ombi la Komanya Erick Kitwala, jaji wa mahakama kuu mheshimiwa Lilian Mongela ameona muombaji ana hoja za kuridhisha kusikilizwa.
---

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA JUDICIARY

IN THE HIGH COURT OF TANZANIA (MAIN REGISTRY)
AT DAR ES SALAAM

MISCELLANEOUS CAUSE NO. 03 OF 2023 IN THE MATTER OF AN APPLICATION FOR LEAVE TO APPLY FOR THE PREROGATIVE
ORDERS OF CERTIORARI AND MANDAMUS AND
IN THE MATTER OF THE LAW REFORM (FATAL ACCIDENTS MISCELLANEOUS
PROVISIONS) ACT, CAP 310 R.E. 2019; THE PUBLIC SERVICE ACT, CAP 298 R.E. 2019,
AND THE PUBLIC SERVICE REGULATIONS OF 2003
AND
IN THE MATTER OF AN APPLICATION TO CHALLENGE THE DECISION OF THE
PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA TO UNPROCEDURALLY
MAKE/FORCE THE APPLICANT TO RETIRE FROM PUBLIC SERVICE, DATED 15™ AUGUST 2022
BETWEEN

KOMANYA ERICK KITWALA ........................................................................... APPLICANT

VS

THE PERMANENT SECRETARY, PUBLIC SERVICE
MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE.................................. 1st RESPONDENT

THE ATTORNEY GENERAL.................................................................... 2nd

RESPONDENT
BOARD OF TRUSTEES OF THE PUBLIC
SERVICE SOCIAL SECURITY FUND....................................................... 3RD RESPONDENT
RULING
Dale of Hearing: 11 /05/2023
Date of Ruling : 23/05/2023

Considering the issues advanced by the applicant as establishing prima-facie case, particularly, on denial of the right to be heard, I find theapplication being proper, meritorious and adhered to the legal requirements for the grant of leave to apply for judicial review. I accordingly, grant the leave. The applicant shall file the main application for judicialreview within 14 days from the date of this Ruling. Costs to follow events.
Dated at Dar es Salaam this 23rd day of May 2023.
L. MONGELLA
JUDGE

SOMA HUKUMU YOTE :
Source : Komanya Erick Kitwala vs The Permanent Secretary, Public Service Management & Good Governance & 2 Others [2023] TZHC 17356 (23 May 2023)

Picha toka Maktaba
View attachment 2644108
Bw. Komanya Eric Kitwala
uwogaaa tuu wa maisha .kiukweliii viongozi wanaogopa kustafu kwa sababu ya hali halisi ya maisha ambayo wao hawaiwezi kwan wao washazoe kutoa amri,heshima .so wakifikiria kua raia wakawaida wana changanyikiwa😂🙄
 
Naona Rais anapunguziwa kazi ambazo kwa uhakika anategemea ushauri wa wasaidizi wake ambao muda mwingine wanamshauri vibaya
Wasaidizi wa huyu mama washamchukulia kama Mwanasesere!! Hakuna mtu yupo serious linapokuja suala la kulinda heshima yake. Pengine Kuna udhaifu wa ufuatiliaji upande wa mama, au anatengenezewa picha mbaya kwa jamii. Kwanini kesi zote zinazohusu Jamhuri zinapigwa chini?

Halafu ndo utasikia kina Feleshi eti mama anaupiga mwingi!! Washauri wa Rais ndo hawa kina Fereshi sijui Feleshi au Furushi.

Hongera sana Komanya. Umekataa unyonge
 
Sasa hii kampeni ya katibu muenezi kutembelea mikoa 20 na kusema watatenguliwa au kufukuzwa kazi maDED, maDC n.k mteule wao ambaye ni atafanikiwa kuwafukuza ?
Ni muoga sana huyo mteuzi. Ndo maana wanamdharau. Ngoja tu Makonda aendelee kupiga kelele labda siku Moja atamuelewa.

Yule mama kwa kweli hapana
 
Back
Top Bottom