Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Mjini apinga kustaafishwa

Ni muoga sana huyo mteuzi. Ndo maana wanamdharau. Ngoja tu Makonda aendelee kupiga kelele labda siku Moja atamuelewa.

Yule mama kwa kweli hapana

Kwa hukumu hii ya Mahakama Kuu inatoa muongozo / maelekezo precedent kuwa ziara ya muenezi ni batili na haitaweza kuwafukuzisha kazi makada wa CCM walio maDED, maDC n.k labda waanike sababu dhahiri za kutimua watumishi bayana bila kupepesa macho au propaganda.
MKURUGENZI ATISHIWA KUTUMBULIWA

Watakaotimuliwa watarejea kesi hii ya Komanya Eric Kitwala kuwa ni batili na uonevu kufukuza mtumishi wa umma bila sababu zilizoshiba. Komanya Erick Kitwala And Permanent Secretary,Public Service Management &Good Government & Another (Misc.Cause No. 24 of 2023) [2024] TZHC 162 (8 February 2024)


Precedent is a principle or rule established in a legal case that becomes authoritative to a court or other tribunal when deciding subsequent cases with similar legal issues or facts. The legal doctrine stating that courts should follow precedent is called stare decisis
 
 
kwahiyo, kwasababu ameshinda kesi, tujue kuwa atatakiwa kupewa masurufu yake yote tangu alipoachishwa hadi sasa? serikali itamlipa au? safi sana Komanya.

bofya kesi hapa:
 

Attachments

kwahiyo, kwasababu ameshinda kesi, tujue kuwa atatakiwa kupewa masurufu yake yote tangu alipoachishwa hadi sasa? serikali itamlipa au? safi sana Komanya.

bofya kesi hapa:

Hawana jinsi kwa taratibu na kanuni DC huyu atatafutiwa deski huku akilipwa mshahara akisubiri kupangiwa kazi nyingine
 
Hawana jinsi kwa taratibu na kanuni DC huyu atatafutiwa deski huku akilipwa mshahara akisubiri kupangiwa kazi nyingine
amesota miaka zaidi ya miwili bila kazi, hapati mshahara, ina maana mishahara yake yote aliyostahili kwa kipindi hicho atatakiwa kupewa afu ndipo arudishwe kazini sana. Huyu jamaa amefanya jambo la maana sana, wanasiasa watakuwa makini sasa, mtu anakuwa kwenye kazi yake nzuri, unasikia jina la uteuzi unaondolewa kwenye hiyo kazi, afu unaenda kufukuzwa bila sababu ya msingi, na umepoteza haki zako zote, hii kesi imekuwa mkombozi wa watu wengi sana. nampongeza sana ameweka historia. though nasikia alikuwa ukimbizini canada, I hope atakuwa amerudi na tafadhali msimfanye kitu huyu jamaa, amekuwa mkombozi kwa wengi.
 
INGIA MTAANI UKAPAMBANE BWEGE WEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…