Duh, jamaa mbona alikua mtu WA hovyoWajinga hao huyu kenge mi nilishafanya nae kazi akanidhulumu na hela yangu ni mpumbavu ,mjinga alipata nafasi ya kushauriwa akashupaza shingo.Imagine alishamweka ndani muuza chips kisa kamcheleshea kumuhudumia,alishawasweka ndani jamaa kisa birthday hizo ni case chache tu.Anavuna alichokipanda.
Mtu wa hovyo sana ,anaingia ofisini anaanza kudai leo na hamu na kugombana na mtu na anagombana na watu kweli .Mi niliona nafanya kazi na boksi nikakimbia mbio nyingi sana vinginevyo angeshanilaza kwenye ubaridi.Duh, jamaa mbona alikua mtu WA hovyo
Alipataje hicho cheo mjinga huyu
Kila Ubaya utalipwaMaDC wa Jiwe wameanza kuonja joto ya jiwe.Hizi Hela walipe wenyewe, sio serikali, serikali huwa haiwajibiki kwa mtu anayefanya jambo nje ya maelekezo ya kisheriaView attachment 2463696
Utanitambua mimi ni naniKomanya Kitwala alikwenda nyumbani kwa mlalamikaji akiwa na Askari Polisi ambao aliwaamuru kumkamata na kumtesa, kisha kumuweka ndani katika Kituo Kikubwa cha Polisi Tabora mjini bila kuwa na kosa lolote, ambapo baadaye aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora kwa wakati huo, ACP Safia Jongo aliagiza mlalamikaji Alexander Ntonge kuachiliwa huru kwa madai kulikuwa hakuna kosa lolote alilofanya.
Bado wengineMaDC wa Jiwe wameanza kuonja joto ya jiwe. Mahakama ya Hakimu Mkazi Tabora yatoa amri alipe milioni 80. Hizi Hela walipe wenyewe, sio serikali, serikali huwa haiwajibiki kwa mtu anayefanya jambo nje ya maelekezo ya kisheriaView attachment 2463696
Mungu alilikomboa taifaSiku moja nilikutana naye Uhazili, nilipokuwa na majukumu maalum.
Alinikuta nahudumiwa kwa wakala pale nje. Nilikuwa naweka fedha kwenye simu.
Sasa kafika, kapitisha kono lake puup, ndani. Hela zangu zikamwagika. Kistaarabu, kulikoni brother? Kaniambia sogea watu wa Muhimu tuhudumiwe tuwahi kuihudumia jamii. Unanifahamu mimi nani?
Nilishikwa na hasira, nikachukua hela zake na kuzitoa nje. Nikasogeza na Million moja ikadondoka chini.
Bahati nzuri kwake, kijana huyo akatoka na kunituliza. Akachukua hela za Komanya na kwenda nazo ndani. Mimi nikahudumiwa na binti, nikamalizana.
Alisema atanitafuta. Nikamueleza namba yangu utachukua kwa huyu binti anayenihudumia.
Ukweli ni kuwa alinitafuta na alituma vijana wake wanifuate. Mh Sengati aliimaliza ishu kiutu uzima
Mpumbavu mno. Ana ubabe wa kipuuzi.
Yule jamaa ni mpumbavu sana. Story ya huyo jamaa niliipata siku hiyo.Mungu alilikomboa taifa
Chai...[emoji847]Siku moja nilikutana naye Uhazili, nilipokuwa na majukumu maalum.
Alinikuta nahudumiwa kwa wakala pale nje. Nilikuwa naweka fedha kwenye simu.
Sasa kafika, kapitisha kono lake puup, ndani. Hela zangu zikamwagika. Kistaarabu, kulikoni brother? Kaniambia sogea watu wa Muhimu tuhudumiwe tuwahi kuihudumia jamii. Unanifahamu mimi nani?
Nilishikwa na hasira, nikachukua hela zake na kuzitoa nje. Nikasogeza na Million moja ikadondoka chini.
Bahati nzuri kwake, kijana huyo akatoka na kunituliza. Akachukua hela za Komanya na kwenda nazo ndani. Mimi nikahudumiwa na binti, nikamalizana.
Alisema atanitafuta. Nikamueleza namba yangu utachukua kwa huyu binti anayenihudumia.
Ukweli ni kuwa alinitafuta na alituma vijana wake wanifuate. Mh Sengati aliimaliza ishu kiutu uzima
Mpumbavu mno. Ana ubabe wa kipuuzi.
Umenikumbusha enzi hizo Vijana walikuwa watukutu balaa lakini Viranja Wakuu walikuwa miungu watu.Jamaa nimesoma nae UMBWE BOYS....kipindi naingia form ONE ye alikuwa form FIVE
Alikuwa ni kiranja wa ulinzi... Usiombe umetoroka one time kuingia mjini halafu ukawa hauja attend roll call...halafu yeye ndio kaandika majina ya watoro... Utadhani sio mwanafunzi jinsi alivyo kuwa anatoa adhabu...
Jamaa lilikuwa MBAVU halafu muonevu mbaya...
Amenikumbusha mbali kweli [emoji1787][emoji1787]