TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Dah huy bro nilikua namkubali sana nilikua nakunywa nae rombo green view...na wenzake wa idara....hakua na shida labda kwenye kazi yake!
 

Sifa ya viongozi wa leo ni kupiga deal halafu kuongea uongo.
Sijui wanafikiri wanamdanganya nani!

Unafiki mtupu
 
Jambo gani ambalo litaweza kukufurahisha wewe? Lina vipimo gani vya kukufurahisha wewe tulitafute?

Maana nisije kukutajia mambo kemkem kumbe wewe kivuruge tu nia yako kuwa negative kwa kila kitu.

Watu wabishi wasiojua kitu kama huyo jamaa ni kumpeleka Kigoma wakati wanafanya zoezi la kamchape....wambandike kesi ya uchawi ndio ataelewa uzalendo maana yake nini
 
😂😂😂😂😂....Makonda atafika Kigoma? Kuna kesi za kumaliza kule😂😂😂😂
 
Eti ' Nyerere nataka kurudi kijijini' 😀😀😀 .
Kumwambia Nyerere naacha kazi narudi Kijiji kwa sababu sikubaliani na serikali yako ni zaidi ya maandamano yote ya chadema, hivi mnamjua Nyerere, ni sawa na kumwambia Putin, Mao, Castro au mapanki wa Korea eti narudi Kijijini, kimsingi yeye ataelewa unasema narudi kaburini, tena na familia yako
 
Mi hiyo kauli imenifurahisha tu .Sijali kama alikuwa anaogepeka au haogopeki.
 

Hapa umenigusa Mkuu huyu Raphael Lukindo ( R.I.P) nipo far related nae.

Natamani kumjua zaidi, sikupata nafasi ya kumjua akiwa enzi za uhai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…