Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

ninatanguliza pole zangu kwa ndugu na familia za wafanya biashara hao waliopoteza maisha yao kinyama mno ,familia hizi zinaishi bila wapendwa wao na bread winners wao its tough life;ILA kwa upande wa pili wa adhabu hii ya KIFO,hivi ikitekelezwa itaifanya familia za waliouawa kuwa happy?,je utarudisha uhai wa ndugu zao?,je na familia za waliohukumiwa kifo zitakuwa ni familia bora zaidi?je kunyongwa hadi kufa kwa mtuhumiwa kutaleta better closure kwa wanandugu waliopoteza ndugu zao?,binafsi ninachukia adhabu hii ya kifo,ni adhabu inayoonyesha kuwa bado tunaishi maisha very primitive,na adhabu hii sio kuwa unafanya watu waogope kutenda kosa la kuuwa eti na wao watauliwa.ni wakati sasa Tanzania ifute hii adhabu ya kifo maana haina faida yeyote kwa jamii.
Nadhani adhabu itekelezwe.Polisi wamekuwa wanaua raia wasio nahatia.Itasaidia kuwa wao pia wako chini ya sheria.
 
life sentence(miaka zaidi ya 25 jela then anaweza fikiriwa kwa parole kama ana good behaviour,mtuhumiwa ameua nawe unahukumu kumwua wakati adhabu hii haitarudisha uhai wa aliyeuliwa au to remedy the problem ya wananchi kuamua kuua,sawa na tatizo la sasa kwa watoto wetu wa kike wanapata mimba shuleni,adhabu inayotolewa ni msichana kufukuzwa shule!na mtuhumiwa kupewa 30yrs in jail,je umesiadia vitendo hivi kupungua?jibu hapana bado na kuna ongezeko la mimba shuleni ,solutions hapa ni kutoa elimu ya uzazi kwa wasichana wetu wakajitambua,toa huduma za kuzuia mimba kama condoms,injections ,etc etc kwa wasichana na poia waruhusiwe kuendelea na masomo yao.
Ni adhabu zipi zimesaidia makosa yake kupungua?
 
Hamza
 
Back
Top Bottom