Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Hii dini bila shirki hutoboi, kule Zanzibar wanaita uchawi wa kitabu.Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
Dah ana bahati ya kukutana na kuonana uso Kwa uso na kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
Waumini wa Hizi Dini kubwa mbili duniani Wengi wenu Uwezo wa kufikiri Ni mdogo Sana Hauna tofauti na Wa Mashabiki wa Simba na Yanga Huwa mnaongea kama mmekatwa vichwa".Hii dini bila shirki hutoboi, kule Zanzibar wanaita uchawi wa kitabu.
Hata waliotekwa na kuuwawa nimisiba mizito Kwa watoto wao na ndugu zao. Kwahiyo hili ni lakawaida tu.Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
Hivi Wewe Ni muislam?Dah ana bahati ya kukutana na kuonana uso Kwa uso na kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3409722View attachment 3409723
Mi ninasali kwa waliotuletea SAUT, SEKOMU, BUGANDO na KCMC. Wewe uislamu umeifanyia nini nchi yako ?Waumini wa Hizi Dini kubwa mbili duniani Wengi wenu Uwezo wa kufikiri Ni mdogo Sana Hauna tofauti na Wa Mashabiki wa Simba na Yanga Huwa mnaongea kama mmekatwa vichwa".
Mnatoa maoni kwa Hisia na sio Uhalisia
Inaandikwa hivi kwel? Bas mi ntakua nakoseagaInalilah wainailah rajiun