TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
====

Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki.

Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory Coast wamethibitisha hilo jana 15 July 2025.

Ibrahim Sow aliwahi kushiriki Mashindano makubwa ya Quran ya Afrika yanayondaliwa na Taasisi ya Alhikma Foundation 2024 na kuibuka Mshindi mdogo zaidi 14 katika uwanja wa Mkapa.

Ibrahim aliwahi kushiriki Mashindano makubwa ya Kimataifa ya Quran yanayofanyika Dubai 2023.

"Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea"

Majini yamebeba mali yao
 
Pole kwa familia,
Sasa kwa umri ule mabikira 72 atampatia nani?
 
Sio sahihi kufanya Mashindano ya Qur'an bcz watu wanahusudiana sanaaa

Alosikia na asikie
 
Allah alishindwa kumlinda dhidi ya mabaya? hizi ngonjera za kidini watu wakija shituka kuwa ni michezo hazina maana yoyote basi tutafika mbali sana.

Ni sawa na kusema unamtegemea na kumfuata Mungu ambaye hana uwezo wa kukusaidia ktk shida, hivi kuna ushahidi hata mmoja wa wazi wa jambo ambalo Allah/Yesu/Yehova alilitenda ama amemtendea mtu? au muujiza wowote wenye ushahidi wa kuonesha ukuu wa huyu Mungu wa hizi dini upo?.

Sishauri waafrika kufuata Dini na hiyo Miungu isiyoweza kuwalinda, ni ujinga mtoto mdogo ambaye bado hajatimiza ndoto zake, kufa ktk umri mdogo hivyo, huo sio upendo ni uonevu na uovu kutoka kwa icho kiumbe mnachokalili hadithi zake za kutungwa.

Allah&Yesu hawana nguvu zozote hata za kuponya mafua.
 
Mpaka Sasa Atakuwa Ameshakula Tunda 1 Kati Ya Yale 72. Sisi Wakristo Sijui Tumefeli Wapi
Namuonea Wivu, Apumzike Kwa Amani.
Si mnajifanya kuendekeza kula kitimoto..
Haya kula chuma hicho
 
Inaandikwa hivi kwel? Bas mi ntakua nakoseaga
Hutakosea Tena kama utamtegemea kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali A.S aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

Hapo Chini akimuaga binti yake kipenzi Sakinah bint Hussain Kwa mara ya mwisho kabla ya umauti. Yani Simanzi.

Screenshot_2025-07-09-18-02-27-43_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg


adriz Akhi Mufti kuku The Infinity
 
Mpaka Sasa Atakuwa Ameshakula Tunda 1 Kati Ya Yale 72. Sisi Wakristo Sijui Tumefeli Wapi
Namuonea Wivu, Apumzike Kwa Amani.
Hivi hawapati mimba hao warembo? Maana kwa umri wake huenda hakubahatika kuacha mtoto.
 
Back
Top Bottom