TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

Waumini wa Hizi Dini kubwa mbili duniani Wengi wenu Uwezo wa kufikiri Ni mdogo Sana Hauna tofauti na Wa Mashabiki wa Simba na Yanga Huwa mnaongea kama mmekatwa vichwa".

Mnatoa maoni kwa Hisia na sio Uhalisia
🤣🤣 mkuuu huyo jamaa anamawazo ya ajabu sana mkuu,

Ni sawa na wale wanaoamini na kushangilia kwamba Mungu ametusaidia watanzania kumuua Magu kwa sababu ametutesa. Wakati Madikteta wakali zaidi ya Magu wametawala nchi mbali mbali kwa miaka mingi na wengine mpaka leo bado wapo madarakani

cc Madwari Madwari 🤣 badilika mkuu
 
Ndugu yangu mimi namshukuru Mungu hapa nilipo.Hakuna Mungu atakuja kukusaidia bila ya wewe kujisaidia. Kupiga rakaa katika dini ambayo haijawahi kujenga shule,hospitali wala chuo Tanzania ni kutukana mabaabu zako.
 
Mkuu hoja ya Hamissi Hamza Jr ni kwamba linapokuja suala la dini hata walioelimika wanakua kama mbumbumbu.

Ni kama wewe mkuu hoja zangu hujibugi zaidi ya kukazania kusema mimi ni muislamu --- hii yenyewe tu inatosha kuthibisha hoja ya Hamissi Hamza Jr na ndo maana sijasita kumuunga mkono mkuu
 
Inalilah waina ilahi rajiun
Ibrahim sow kutoka Ivory coast.
Aliekuwa mshindi wa Quran mwaka Jana pale uwanja wa mkapa amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16.
====

Mshindi wa Mashindano ya Quran Tukufu Ibrahim Sow raia wa Ivory Coast amefariki.

Taarifa kutoka vyombo mbalimbali Nchini Ivory Coast wamethibitisha hilo jana 15 July 2025.

Ibrahim Sow aliwahi kushiriki Mashindano makubwa ya Quran ya Afrika yanayondaliwa na Taasisi ya Alhikma Foundation 2024 na kuibuka Mshindi mdogo zaidi 14 katika uwanja wa Mkapa.

Ibrahim aliwahi kushiriki Mashindano makubwa ya Kimataifa ya Quran yanayofanyika Dubai 2023.

"Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea"

View attachment 3409740
Inalilah waina ilahi rajiun
 
Alishinda mwaka jana akiwa na miaka 14, kafa mwaka huu akiwa na miaka 16
 
Back
Top Bottom