TANZIA Aliyekuwa mshindi wa Quran 2024 amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 16

Apumzike panapo stahili, ila watoto wanabebeshwa mizigo mizito sana. Kwa nini umkaririshe mtoto Quran badala ya kumpeleka shule akasome elimu ya kisasa? Mtoto anajazwa mashetani ili ameze mistari ya juzuu, matokeo yake ndiyo hayo sasa

Hata mkibisha hapa Waislamu mnakosea sana
 
Mungu alitusaidia kwenye hili la Magufuli, maana aikuwa ni zaidi ya shetani
 
Too young to be given a virgin woman nadhani akifikisha 18 ndio atakabidhiwa mabikira
 
Kwanini Allah hakumsaidia kuepuka kufa akiwa kinda?
 
,😂😂😂 hakuna mvaa kobazi mwenye akili hio. Mnakaa kuwasifia na kuwakumbatia wahindi na waarabu wanaolipa graduates laki tatu.
Mtu mwenye akili kama zako hawezi kuwa timamu kwaiyo kila unaepishana nae mtazamo unakuwa nae dini tafouti
 
Mtu mwenye akili kama zako hawezi kuwa timamu kwaiyo kila unaepishana nae mtazamo unakuwa nae dini tafouti
Sasa kuna dini unasali mara moja kwa wiki na imejenga shule,mahospitali na vyuo bikuu tanzania. Na huku kuna dini unatakiwa kuswali mara tano kwa siku. Na watoto wanatakiwa kwenda kulawitiwa madrasa kila siku . Halafu wakijitahidi wanachimba kisima basi hawazidishi hilo. Sasa jiulize kati ya wanaosali hizi dini yupi anadhalilisha mababu zake ?
 
the way una ague kama ngumbaru vile
 
Waumini wa Hizi Dini kubwa mbili duniani Wengi wenu Uwezo wa kufikiri Ni mdogo Sana Hauna tofauti na Wa Mashabiki wa Simba na Yanga Huwa mnaongea kama mmekatwa vichwa".

Mnatoa maoni kwa Hisia na sio Uhalisia
Yani inashangaza sana mkuu. Mtu anatoa maoni kana kwamba upande wa pili hakuna wanaokufa wakiwa na umri mdogo. Ama lah! Watuambie umri sahihi wa mtu maarufu kufariki ni miaka mingapi ili tupime pande zote
 
the way una ague kama ngumbaru vile
Hizi dini tumeletewa bro una haki ya kuchagua ipi bora. Dini namba moja ni ile ya mababu zetu then unafwata ukristu then uislamu. Uarabuni kuna utumwa mpaka kesho na wanatumie Quran kuutetea. We unakazana na swalaa tano watu wanaowaona kama watumwa.
 
Hizi dini tumeletewa bro una haki ya kuchagua ipi bora. Dini namba moja ni ile ya mababu zetu then unafwata ukristu then uislamu. Uarabuni kuna utumwa mpaka kesho na wanatumie Quran kuutetea. We unakazana na swalaa tano watu wanaowaona kama watumwa.
Hata wewe ni mtumwa bado umefungwa minyororo kwenye ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…