Madwari Madwari JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 2,732 Reaction score 4,568 Oct 7, 2025 #81 much know said: Hata wewe ni mtumwa bado umefungwa minyororo kwenye ubongo Click to expand... Mimi bado nachinja mbuzi na fanya matambiko kijijini kwetu ndugu hio dini yangu namba moja mkuu. Sina minyororo ya kuswali swala tano kwenye dini ambayo ukienda Saudia kuna mfumo wa utumwa (kafala system) upo paka kesho.
much know said: Hata wewe ni mtumwa bado umefungwa minyororo kwenye ubongo Click to expand... Mimi bado nachinja mbuzi na fanya matambiko kijijini kwetu ndugu hio dini yangu namba moja mkuu. Sina minyororo ya kuswali swala tano kwenye dini ambayo ukienda Saudia kuna mfumo wa utumwa (kafala system) upo paka kesho.